Hivi Ukitakiwa Ukatoe Ushaidi Wako Huo Mahakamani, Uko Tayari We Mgalatia!!?? We Wadhani Ugaidi Ni Suala Dogo Kihivyo?? La Kupayuka Tu Midomoni, Mitandaoni, Magazetini, Vijiweni, Makanisani, Vilabuni, Mabaa Na Maeneo Mnayokutana!! Sasa Ponda Kwa Mashitaka Gani Ambayo Yanayofanya Awekwe Rumande...