Sun Tzu ni mwandishi wa sanaa ya vita na mikakati ya kijeshi ninayempenda na anayesifika kwa falsafa na mawazo yaliyoathiri majeshi mengi ya magharibi na mashariki ya bara la Asia.
Miongoni mwa nukuu zake nizipendazo ni hizi mbili. Moja, Tzu anasema ikiwa unamjua adui na unajijua mwenyewe...
Na Kevin Lameck
Tanzania itaingia katika chaguzi mbili muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Ni uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Kwa mara ya kwanza tutamshuhudia Samia Suluhu Hassan akipambana kwenye majukwaa ya kampeni ili...
Na Kevin Lameck
Kama ipo sehemu ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amepatia katika teuzi zake za karibuni, bhasi miongoni mwake ni uteuzi wa sasa wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa.
Bwana Mobhare Matinyi, Mkuu wa wilaya ya Temeke ameteuliwa kuwa Msemaji mkuu wa serikali na...
Na Kevin Lameck
Kama ipo sehemu ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amepatia katika teuzi zake za karibuni, bhasi miongoni mwake ni uteuzi wa sasa wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa.
Bwana Mobhare Matinyi, Mkuu wa wilaya ya Temeke ameteuliwa kuwa Msemaji mkuu wa serikali na...
✍🏽 Kevin Lameck.
Kulingana na ripoti Ya U.S Recycling Economic Information (REI), San Francisco - Marekani ni jiji la kijani kibichi hasa, linatajwa kama kinara kwa urejeshaji wa taka (recycling), kwa zaidi ya asilimia 80 ya taka zake.
Wanafanyaje? Kwa kushikamana na mipango madhubuti ya...
Na Kevin Lameck
Miongoni mwa yasiyopimika kwenye mizani ya namna yeyote ile ni athari kubwa ya SAMIA SULUHU HASSAN kwa wasichana wadogo na mabinti.
Dkt. Samia Suluhu si tu ni Rais wa Tanzania lakini pia ni Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa serikali na Mwenyekiti wa Chama Tawala - CCM.
Katikati...
Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi.
Na Kevin Lameck
Tuna masikio mawili na mdomo mmoja, kwa sababu tunapaswa kusikiliza zaidi na kuzungumza kidogo.
Huu ni msemo maarufu sana kwa waswahili na ambao unahusishwa na mwanahistoria Plutarch na mwanafalsafa Zeno wa Citium.
Ujumbe wa Papa...
Na Kevin Lameck
Dunia inapoadhimisha siku ya Vijana hii leo, yapo baadhi ya mambo yaliyofanywa na kutekelezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye kuwakwamua dhidi ya changamoto mbalimbali zinazowakwaza Vijana.
Changamoto kubwa inayotajwa nchini Tanzania miongoni mwa Vijana wake...
Na Kevin Lameck
Siku ya Kimataifa ya Vijana inaadhimishwa leo na kila mwaka tarehe 12 Agosti, ikileta maswala ya vijana kwa jamii ya kimataifa na kusherehekea uwezo wa vijana kama washirika katika jamii ya leo.
Vijana ni kundi muhimu katika taifa lolote lile duniani. Hii ni kutokana na ukweli...
Na Kevin Lameck
Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015 zilipitisha Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs).
Lengo la tatu la ajenda hiyo lililenga afya bora na ustawi. Tangu wakati huo, WHO imekuwa ikisaidia mipango ya nchi na kufuatilia maendeleo...
Baadae mwezi huu,Jumanne ya August 23 kutafanyika tukio kubwa, la kihistoria na lililobeba mustakabali wa maendeleo yetu.
Baada ya miaka 10 kupita,Sensa ya watu na makazi ya mwaka huu itakuwa ya sita kufanyika nchini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Sensa nyingine kulingana na...
Na Kevin Lameck.
Hisia mseto zimekuwapo kuhusu Zoezi la Sensa ya watu na makazi litakalofanyika jumanne ya August 23/2022. Takribani mwezi mmoja baadae kutokea leo.
Watanzania Wengine wanaona ni upotevu tu wa fedha, wengine wakiamini Sensa haina maana katika maendeleo ya kijamii.
Baadhi ya...
"Kuwa na takwimu sahihi kuhusiana na watu ambazo zimechambuliwa na kuainishwa kwa makundi, ukubwa na mtawanyiko wa watu na makazi ni muhimu katika kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Niwaombe kujitokeza kuhesabiwa ifikapo jumanne ya August 23/2022"-Katibu Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.