Mleta mada anapoint sana,, hata mm ambae nadokoa maneno ya kingereza nimeliona hilo kwa Prezidaa wetu,,, plz wahusika wa ik**u wadeal na hili swala,,, for the record, the 3rd president of Tz, B.W.Mkapa was the best,,, hata alipokuwa akitoa speech au akifanyiwa interviews na international press...