Recent content by kethika

  1. kethika

    Ukweli ambao Wanawake hawapendi Wanaume waufahamu

    UKWELI HUU HAPA Hakuna mwanamke asiyeweza kumtimizia mwanaume lile hitaji halisi la kingono, wala hakuna mwanamke anayeweza kumtimizia mwanaume hilo hitaji zaidi ya mwingine, haijalishi maumbile, rangi, uzuri wa umbo, uzuri wa sura. Wote wako sawa. Hii ndio maana wanawake kwa kujua au bila...
  2. kethika

    Sheria ya kelele: NEMC yatangaza rasmi kiama kwa wachafuzi wa kelele kwenye makazi ya watu

    Wakati nasoma tu hii thread nikasikia adhana huko nje. So sidhani kama ni kelele za makanisa tu . Kama ni hivyo basi kuna shida kwenye hii sheria
  3. kethika

    Dawa ya kuongeza urefu

    Mkijaribu na kufanikiwa nijuzeni na mie
  4. kethika

    90% ya wanaume wa Tanzania, hatuvutiwi na wanawake wanaovaa mawigi

    Tena wanaonyoa nywele wanakuwa na comfidence so wanavutia zaidi
  5. kethika

    Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

    Huruhusiwi UK comment means juju sehemu zote
  6. kethika

    Fahamu makabila yaliyotoa wasomi wengi nchini

    Ni maneno ming tu Harmon lolote
  7. kethika

    Fahamu makabila yaliyotoa wasomi wengi nchini

    Hata wahaya. Msichojua ni Kuwait wahaya walioosoma wamesoma sana ilana vila wake wong ilana tu Kwan Iowa wanamaker Manson mango na ni wajuaji. Lila kitty wanajua. Asiyewafahamu hawezi kuamini Kuwait sio Kelli kuwa wamesoma sana
  8. kethika

    Ujamabazi sio mpaka uvunjiwe nyumba huu nao ni Ujamabazi

    Wenye tamaa tu ndo watakamatwa hapa. Katika watu wanaoonewa na kudhalilishwa na kudhalilika ni wanaume. Hebu jiulize mwanaume, ni kitu gani cha ziada unachopata kwa mwanamke eti tu kwa kuwa ana matiti yaliyosimama, ana matako makubwa au madogo, ni mweupe au mweusi ana ngozi nyororo au ngumu ...
  9. kethika

    Wanaume tunakwama sana tukifanya hivi kwa wanawake zetu

    Ulipoanza hii thread ilivutia sana ila yote uliyoandika ungegeuza iwe kinyume chake
  10. kethika

    FACT: Wanawake wote wana uwezo sawa wa kumpatia mwanaume hitaji la msingi la kingono

    1. Utaelewa kweli hizi tu kama utahaliwa kutafakari kwa kina ukiwa na mtuzamo neutral ktk kutafakari. 2. Ukiujua ukweli utakuwa huru 3. Ukweli pekee haumuweki huru mtu isipokuwa ule tu alioujua 4. Shetani hana kazi nyingine hapa duniani isipokuwa kuudanganya ulimwengu maana yeye ni baba wa...
  11. kethika

    Dimpoz kwa mwanaume ni za nini?

    Mmm wakati wote dimpoz ni urembo kwa mwanaume na mwanamke
  12. kethika

    Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Unapoorodhesha vitu kama hivi lazima nasema lazima uanze na wairaq. Ukianzia popote pengine ujue umechemsha. Labda kama unaongelea uzuri wa tabia.
  13. kethika

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    KARIBU JIJINI DODOMA. ILA PIA UELEWE KUWA HILI HALITABADILIKA NDO USHAKUWA HIVYO. Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom