agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
HajhaaaaSipatii picha dawa zikiisha nguvu...watu watakuwa wanamwagika tuu kama maji afu ndo ushakuwa ngongoti...chaa!!!!
HajhaaaaSipatii picha dawa zikiisha nguvu...watu watakuwa wanamwagika tuu kama maji afu ndo ushakuwa ngongoti...chaa!!!!
Ila wanawake warefu tunachangamoto jomoniii...afu utakuta kuna kibushuti mmoja anakung'ang'aniaaaa kama luba..kifupiiii kama dawa ya mbu ya rungu...😑basi awe mpole uuuwiii wana gubu kama nyangumiMkuu naomba unitafutie ya kupunguza urefu..maana nakosa mume
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Mkuu naomba unitafutie ya kupunguza urefu..maana nakosa mume
Kimo changu kama chako mpenzi.Salama mpendwa?VIP wewe mrefu au mfupi?
Mungu anakuonaIla wanawake warefu tunachangamoto jomoniii...afu utakuta kuna kibushuti mmoja anakung'ang'aniaaaa kama luba..kifupiiii kama dawa ya mbu ya rungu...😑basi awe mpole uuuwiii wana gubu kama nyangumi
Mmmh wamekusikia acha PM waziMkuu naomba unitafutie ya kupunguza urefu..maana nakosa mume
Hivi kwa nini wafupi wanakuwaga wanene
Ooh Mimi mfupi kama luluKimo changu kama chako mpenzi.
Ananiona kweli ndio maana akanipa mnyamwezi mwenzangu..🤩tumeenda hewani sekunde,.Mungu
Mungu anakuona
Tafuta dawa ya kuboost uwe kibonge. Ukiwa kibonge automatic unarudi chini.Mkuu naomba unitafutie ya kupunguza urefu..maana nakosa mume
Ndio safi huoni tunaendana.Ooh Mimi mfupi kama lulu
Msitutenge basiiiiAnaniona kweli ndio maana akanipa mnyamwezi mwenzangu..🤩tumeenda hewani sekunde,.
Hapana..ntakua ka ashabokoTafuta dawa ya kuboost uwe kibonge. Ukiwa kibonge automatic unarudi chini.
Agata unanicheka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu naomba unitafutie ya kupunguza urefu..maana nakosa mume
Hahahaaa mbavu zanguu...Ila wanawake warefu tunachangamoto jomoniii...afu utakuta kuna kibushuti mmoja anakung'ang'aniaaaa kama luba..kifupiiii kama dawa ya mbu ya rungu...[emoji58]basi awe mpole uuuwiii wana gubu kama nyangumi
Una futi ngapi angani??
Fanya uwe chibonge 😂 😂 😂Agata unanicheka
Kila anaenipenda anaishia kifuani..hata kusimama nimsogelee naona aibu.