Recent content by keshhy

  1. keshhy

    Je, Katiba ya CHADEMA inapingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Mkuu Boniface, hapo kwenye kupingana na katiba sijakupata vizuri. Kwani katiba inaelekeza vipi?
  2. keshhy

    Ombi la Lema kwa Zitto na kauli ya Werema - Unganisha dots...

    I can't agree more.....
  3. keshhy

    CCM jifunzeni Kwa CHADEMA

    Naamini kuna siku tutajua ukweli, inatumika nguvu kubwa sana kumzima Zitto...there must be something else. "Time is a good Healer"
  4. keshhy

    Viongozi wapya wa CHADEMA 2014-2019

    You are impossible...:A S-eek: "To every action, there is equal and opposite reaction"
  5. keshhy

    Penzi la mtandaoni

    Ndo mapenzi ya siku hizi, eti inapendwa pochi mengine mnavumiliana. "Never hate the game..change the game"
  6. keshhy

    Re:Najaribu Kumsahau lakini Nashindwa

    Dah! Tafuta mwingine don't worry.. aah aah!! Afu kwa kuwa anajua unamzimia ndo atakutesa, ndo walivyo watoto wa miaka ya 90...
  7. keshhy

    LLB (Elimu ya Watu Wazima)

    Be Master of ur soul and captain of ur fate..
  8. keshhy

    William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

    Ukiua kwa upanga......
  9. keshhy

    Waandishi wa Habari wampuuza Juma Nkamia

    Bahari maji...ana-enjoy sasa.
  10. keshhy

    Mwalimu RWEZAULA wa PUGU afariki dunia

    Ndio tumemuaga Mwl Rwezaula jumamosi hii. Bila shaka sie tulio mazao yake tutaendeleza yale yote aliyoyaacha vichwani mwetu. Rest In Peace.
  11. keshhy

    Nadhani Huyu Mtu Anatumika....

    Ephraim Kibonde, mtangazaji wa Clouds FM kipindi Jahazi. Hivi, kuna mtu huwa anamuelewa anisaidie na mie kumuelewa! Mie nadhani huwa anatumiwa na wanasiasa, si bure... Nimefuatilia sana kipindi chake, huwa hana msimamo wake, leo anasimamia hili kesho anabadili msimamo. Pengine mie ndo mgumu...
  12. keshhy

    Juliana Shonza amlipua Mbowe

    Juliana, taratibu mama. Hii ni siasa, tena siasa ya CCM. Maji bado ya moto, yatapoa!!!!!
Back
Top Bottom