CCM jifunzeni Kwa CHADEMA

CCM jifunzeni Kwa CHADEMA

Mkuu Masanilo,
Kama kweli Zitto anayo majina kwanini asiyataje? Kwani kumtaja mwizi inahitaji itifaki?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Masanilo,
Kama kweli Zitto anayo majina kwanini asiyataje? Kwani kumtaja mwizi inahitaji itifaki?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Zitto amekuta majina yote ni ya Chama chake CCM. Labda amehofia kufukuzwa
 
Last edited by a moderator:
WanaJF,

Siungi Mkono moja kwa moja alichoongea Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mh.Lukuvi Bungeni jioni hii.

Kwanza,Wametoa tuhuma hizi wakati Zitto akiwa hayupo ndani ya Bunge

Pili,Hatuwezi kumuhukumu Zitto moja kwa moja bila kumpa fursa ya kumsikiliza

Napinga tabia hii ya wanaCCM kumdhalilisha Zitto Bungeni na kumnyima fursa ya kujitetea na wengine kuanzisha thread humu.

Tatu,Ni jambo la kusitisha kuwa Chama tawala kina viongozi na makada wanaoweza kuminya haki wazi wazi hasa pale wanapoona kuwa maslahi ya viongozi na wanachama wao yanahatarishwa.Mh.Zitto anayo majina na sio busara kumshambulia kama alivyofanyiwa ili tu kuwanusuru wanasiasa na makada wa CCM waliolimbikiza fedha nje

Nne,Naomba Wanachama na viongozi wa CCM,Wabunge na Viongozi wa Bunge waige mfano bora wa CHADEMA kwa kumpa nafasi ya kujitetea.Natural justice ni jambo la msingi.Tuimarishe misingi ya uwazi katika suala linalohusu maslahi ya nchi.

Namshauri pia Mh.Zitto aweka wazi suala hili hasa suala la kutaja majina ya wamiliki na kama hawezi anaweza kumpatia majina haya Mhe.Lema ayataje.

Kama task Force ya Bunge iliweza kuvujisha majina ya waliochunguzwa,ni kitu gani kinamshinda yeye kuvujisha majina kwa Lema ambaye yupo tayari kutaja bila woga?


Tumpe nafasi badala ya kumzomea na kumshutumu jamani.

KAA MBALI NA MTU ANAYEPENDA SIFA KWA KILA JAMBO NA ANAYEJIFANYA YEYE NDO KILA KITU.MTU ANAYEWAONA WENGINE KAMA MAGUNIA YA NAZI ZILIZOJAA MAJI NDANI YAKISUBIRI KUBEBWA TU LAZIMA AOGOPWE NA KUCHUKIWA PIA...ETI UNATAKA UMAARUFU!!!??? BILA CDM HUO UMARUFU ANGEKUPA NANI?......HATA KWENYE NDOA KAMA MMOJA KATI YENU ATATAKA AWE MSEMAJI MKUU KWENYE KILA JAMBO SOON NDOA ITAYEYUKA.ZZK ULIKUWA NA LENGO LA KUKIUA CHAMA KISA WANAOKUPIGIA MAKOFI aka WANAFIKI WENZAKO WAMEKUHONGA.
 
Lakini Mwanasheria wa serikali alisema bungeni kwamba ZITTO KABWE ali sign hati ya kudhibitisha kwamba hana majina na watu walioweka hela uswis - sasa hilo nalo wamemsingizia?
 
Lakini Mwanasheria wa serikali alisema bungeni kwamba ZITTO KABWE ali sign hati ya kudhibitisha kwamba hana majina na watu walioweka hela uswis - sasa hilo nalo wamemsingizia?
Kwahiyo alikuwa anatumia hiyo issue kujitafutia umaarufu tu?
 
Zitto hana tofauti hata kidogo na Rev Mtikila
 
Naamini kuna siku tutajua ukweli, inatumika nguvu kubwa sana kumzima Zitto...there must be something else.


"Time is a good Healer"
 
Hivi CCM na Ag hawaoni haja ya kumsikiliza kabla ya kutoa hukumu?Hawa ni Opportunists.Naamini kesho Zitto ataibuka bungeni kuwaaibisha na kutaja majina hayo

tunataka sio kusubiri tena, ATAJE MAJINA HAYO.
 
Back
Top Bottom