Recent content by kerai

  1. K

    Aliyekuwa Mgombea Ubunge CHADEMA Shinyanga, afariki

    na kweli Salome Makamba yuko vizuri
  2. K

    Rais Magufuli kupata 'Ujumbe Muhimu' kutoka kwa Tundu Lissu

    Sijui lakini ila kwa macho yangu naona kama upinzani wakijipanga vizuri kwa orodha ya uteuzi ya leo wanaweza chukua majimbo yakutosha
  3. K

    Ujio wa Tundu Lissu na shamrashamra za mapokezi makubwa zaashiria CCM kutupiwa virago na wapiga kura Oktoba hii

    Nilichojifunza hapa sio wote walioko ccm ni wanaccm wengine ni wafuata upepo tu
  4. K

    Nina Shahada ya Sociology natafuta kazi

    kuna dada namjua alisoma Sauti hiyo sociology akakosa kazi akenda soma masters ya public health bado yupo mtaani hana kazi, anataka hata kazi ya laki 5 lkn hajapata
  5. K

    Chama Kikuu cha Upinzani ni ACT Wazalendo, CHADEMA, mnakwama wapi?

    chadema sio chama kibaya ila kubanwa kwenye awamu hii ndo kumekipiga mapigo mengi, unadhani km wasingebanwa silinde au lijualikali wangehama. Hofu uliyonayo ww ndo hao wabunge niliowataja walikuwa nayo, walijua kubaki cdm ni kuuweka ubunge wao rehani. kumbe ndo walikuwa wanajifumbukiza shimoni...
  6. K

    Chama Kikuu cha Upinzani ni ACT Wazalendo, CHADEMA, mnakwama wapi?

    Hoja dhaifu sana hii, ACT hawana mtandao wa wanachama wala mashabiki zaidi ya press conference za Zitto kuwabeba. hao watu wa kuwapigia kura wanatoka wapi? Nadhani ungesubiri lissu ashuke kwanza na campaign zianze ndo utapima hiki unachokiongea
  7. K

    Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    ccm huwa mnaakili za uji, Halima aligombea kawe alipotoka kuwa mbunge wa viti maalumu sidhani km kuna mtu alikuwa hamjui
  8. K

    Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

    Sisi wasukuma taifa kubwa tulieni hivyo hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. K

    Yuko wapi Producer KGT?

    Sio kweli KGT yupo keko bado anarekodi lkn amechoka sana na alikuwa anaugua, Baba yake Bob Junior ni Dj G Love.
  10. K

    Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

    na je hiyo 30% inayokatwa ni baada ya kutoa Mchango wa hifadhi ya jamii na bima ya afya?
  11. K

    Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

    mimi pia nilitegemea mijadala iwe ya hoja za msingi za kuisaidia serikali kuona maeneo mahususi ya kuzingatia kuokoa sekta kama za kilimo, utalii na Biashara ndondogo
  12. K

    Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

    Binafsi nilitegemea nione mpango wa kuokoa sekta ya utalii na uchumi wa mwananchi mmoja mmoja.
  13. K

    Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

    We unajielewa kweli? msamaha wa kodi utakuwa kwa watu wanaopata mshahara wa kima cha chini sio wote
Back
Top Bottom