Brakelyn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,181
- 517
Malizia tu kwa kumpongeza aliemteua sio kesi kabisaPamoja na mapungufu ya huu utawala wangemtumia vzr waziri mpango tungeenda mbali. nimesikiliza hotuba yake ya budget kama Magufuli angemtumia vizuri angeipeleka mbali sana wizara ya fedha.
Wizara zingekuwa na mawaziri vichwa type ya jamaa tungekuwa mbali sana kiuchumi.
Tukiweka kando siasa jamaa ni mtu makini sana na anasitahili kuwa pale alipo.
Hofu yangu tu nahisi anaingiliwa. ila all in all nikichwa sana jamaa.
amenogewa na siasa naona katangaza na nia ya ubunge
Kwani mpango ana PhD ya kitu gani kwamba awe ni msomaji tu wa kazi za wataalam?Wew umejuaje kama ni kichwa wakat hizo hutuba wanaandikiwa wao kaz yao ni kusoma tu
kama sijalielewa hivi
Mbunge wa buhigwe ni nan
Maana pressure itakua imepanda
Mbunge wa buhigwe ni nan
Maana pressure itakua imepanda
Nadhani kachanganya madesa na simbi au juche!?hiyo ni PAYE kweli?
Wa Tanzania watu wa ajabu sana.Leo Taifa kupitia vyombo vya habari limeshuhudia usomwaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambapo shilingi trilioni 34.88 zimependekezwa.
Pamoja na mengine mengi, uimara na umakini wa Waziri wa fedha Dkt. Mpango ni wakipekee sana ambapo ametumia saa 3 na dakika 20 akiwa amesimama bila kunywa maji wala kukunja goti akitekeleza jukumu hilo.
Kongole sana kwake.
Chanzo: Channel10
Afadhari, Kodi ni kubwa mno aiseee
Nakatwa 700k+ kila mwezi. Naona Kuna unafuu sasa
Taka taka hio
Mzee yawezekana sijaelewa vizuri hiyo document lakini unapotoa matusi badala ya kunielekeza nisipoelewa wewe ndio unakuwa hujielewiWe unajielewa kweli? msamaha wa kodi utakuwa kwa watu wanaopata mshahara wa kima cha chini sio wote
Jf sio pa kumalizia stress zako!Taka taka hio
Tena sasa hivo TRA wanapita wanakusnya kodi kwa lazima kwenye makampuni ya utalii. Hawa jamaa ni wapumbavuBinafsi nilitegemea nione mpango wa kuokoa sekta ya utalii na uchumi wa mwananchi mmoja mmoja.