Ni aibu kwa TFF kuwa sehemu ya uharamia wa soka Tanzania.... Patrick Nyembera alimhoji Fiston Mayele akiwa kwenye kambi ya Simba Cairo, Nyembera ni mnazi wa simba inajulikana Mayele anawakilishwa na wakili msomi Jasmine Rasack ambaye anamwakilisha na Feisal Salum.
Hivi karibuni kumekuwa na...
Jemedari Saidi ameupiga kelele sana mchezo wa Yanga na Namungo, akishinikiza TFF kumfungia Aucho kwa retaliation dhidi ya Ajibu.
Kwa namna ya ajabu TFF wakayafanyia kazi malalamiko ya Jemedari wakaacha kuuangalia mchezo mzima.
Max Nzengeli alifanyiwa tukio ambalo halikuadhibiwa na TFF au hata...
Aziz Ki mwenyewe anajua hatakua ma kiwango hicho hicho kwanza waliokua wanamzodoa hana kiwango ni hao hao leo wanapambana kupata sahihi yake (km ni kweli) wakati huo huo wanamtaka Fei Toto kwa namba hiyo hiyo ya Aziz kumbuka Nabi alishindwa kuwachesha pamoja na wote wakawa katika kiwango bora...
Msimu wa 2020/21 walifungwa na Prison na baadae Mtibwa viongozi wa simba wakaenda kuwafukuza wapishi wawili eti kwenye simu zao walikua na namba ya Senzo. Leo simba wana wa simamisha wachezaji kisa kufungwa goli 1-5 na YANGA. Kutaka kuaminisha washabiki wao kuna hujuma hii ni mbinu yao siku zote...
Jeff lea ni muongo anadanganya eti kuna slight favourite akimaanisha katika mtanange huo hatakuwepo "underdog" MWONGO ukiishakuwa na slight favourite maana yake tayari unae "underdog"...... Jeff ametoa mfano wa Bayern Munich na PSG nimeenda ku Google imeandikwa PSG ni "underdog" kwa Bayern...
kwanini usiseme ccm ndio imeonyesha udhaifu kwa kuzuia kibali cha chopa?? Km wanajiamini kanini wasiache kibali kipatikane?? Serikali yenye muundo wa kukipigania chama fulani ni serikali "mfu na mufilisi".... waulize A. Kusini
Silaha kubwa ya TFF katika kupanga matokeo ni Ratiba ya ligi ambao kanuni za mpira zinaheshimika Ratiba ya ligi haibadiliki na inakua FAIR kwa timu zote shiriki.
Yanga wanawafuata coastal J5 inalazimu kusafiri baada ya mechi ngumu dhidi ya simba iliyochezeshwa J'2 halafu ndani ya siku 3 pamoja...
Watu wanawezaje kuchagua viongozi km hawajitambui vyama vya siasa , serikali na NGO kazi zake ni nini miaka 60 ya Uhuru, tukisema ccm imeshindwa nani wa kubisha...!
Watu kunyamaza haina maana hawajui, hizi tozo zinamuudhi kila Mtanzania ... hao cnn, bbc na wengine wanakua na msukumo wa...
Kuunda protein kwaajili ya kuunda “immunoglobulin” (antibody) au majeshi ya kupambana na adui kwa hapa COVID 19. Ili antibody zifanye kazi lazima zipate muda kuzalishwa kwa wingi na inategea afya ya mgonjwa na dalili alizonazo km hapumui vizuri anaweza kufariki kabla ya antibodies kutosha...
vyama ya siasa vipo kwa mujibu wa katiba ambayo ndio inayo inachezewa..... mchezo ni kutoheshimika kwa katiba ya nchi wanaichezea mpaka sikukuu ya Uhuru (tunu ya taifa) inakua anasa na kero.... watoto wetu hawata ihitaji tena kwa hili linaloendelea..... katiba yetu ni mchezo mchafu ndio maana...
Hii ndiyo strategy! Mgombea Urais anajinadi yeye ili watu wamchague yeye siyo Mh Mbowe, angalia kampeni za waliotutangulia kwenye demokrasia... Obama alikua akizunguka mwenyewe na timu yake ya kampeni .... ni siku ya Convention tu ndio wanakuwepo “heavy weights” wote
Sayansi ya siasa ya CDM ni...
Sina hakika km hii taarifa ya FAO imeletwa kwa nia ya kusaidia... wanadai kuna kuchelewa kwa pesticides kutufikia kwa sababu ya delays za COVID 19 infection ... inachukua muda gani kuleta hayo madawa tatizo la COVID 19 limeanza kuwa universal hardly two months ago... tatizo la nzige limekuwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.