Nikimjibu Jeff Lea Sports HQ ya 06 Nov. na Kuiangalia mechi ya C/Union na Yanga na TFF kupanga matokeo

Jan 3, 2020
15
34
Jeff lea ni muongo anadanganya eti kuna slight favourite akimaanisha katika mtanange huo hatakuwepo "underdog" MWONGO ukiishakuwa na slight favourite maana yake tayari unae "underdog"...... Jeff ametoa mfano wa Bayern Munich na PSG nimeenda ku Google imeandikwa PSG ni "underdog" kwa Bayern Munich katika mashindano ya UEFA .... (soma hii)

Mfano kina Jeff Lea ikitokea Yanga wasicheze kwa kiwango sawa kama ilivyokua dhidi ya simba watasema lugha hii "on good days" halafu wataacha kuyataja mambo ya kisayansi ambayo wanayajua yanayohusu "good day" ya mchezaji na timu kwa mechi ya Mkwakwani YANGA wanakabiliwa na UCHOVU wa mechi ya tarehe 05, ubovu wa kiwanja na kusafiri kwa basi kutoka Dar masaa 6 Coastal Union hawaja safiri mechi mbili zilizopita wameuzoea uwanja hawajacheza tangu Tarehe 01 wataingia kwenye mechi wakiwa fresh kuliko YANGA ....Yanga wanacheza CAF CL wataingia kwa tahadhari ya majeruhi kupatina wakiifikiria mechi dhidi ya CR Belouizdad kwa hiyo hawatacheza kwa kasi kupunguza majeruhi ambayo yanaweza kupatikana kutokana na uchovu (fatigue), ubovu wa kiwanja na Rafu za Coastal Union .... nina hakika kwa TFF hii wataweka refa mwenye maelekezo kuruhusu Yanga kuchewa rafu ili wasicheze vizuri kuhofia majeruhi na wachezaji wa YANGA wasipolijua hili watajikuta wanapewa kadi zisizo za maana kuwatoa mchezoni, TFF watakua wanatafuta kisasi baada ya timu pendwa kwao kufungwa ....Nina hakika Yanga isipopata matokeo Jeff na Maestro wata acha sababu zote hizi kuja na hoja potofu za ajabu ajabu halafu wanajiona ndio wachambuzi....!
 
Mleta mada ni mjinga wa karne. Geof ni professional analyst wewe huna hata kitu ni domo tuuu
 
Jeff Lea ni mpenzi wa simba .
Raisi wa Tff ni mpenzi wa simba na coastal union
Unaweza kufikiri hizi ratiba za ligi zimepangwa na watoto wa chekechea au imefanyika hivyo huku kukiwa na Lengo Fulani la Kumbeba mtoto pendwa anaepumzika leo na kucheza kesho .
 
Mwinyi zahera atawasaidia wasiwasi wa Nini mkuu na bench yuko papa mwinyi leo ni goal 6
 
Jeff lea ni muongo anadanganya eti kuna slight favourite akimaanisha katika mtanange huo hatakuwepo "underdog" MWONGO ukiishakuwa na slight favourite maana yake tayari unae "underdog"...... Jeff ametoa mfano wa Bayern Munich na PSG nimeenda ku Google imeandikwa PSG ni "underdog" kwa Bayern Munich katika mashindano ya UEFA .... (soma hii)

Mfano kina Jeff Lea ikitokea Yanga wasicheze kwa kiwango sawa kama ilivyokua dhidi ya simba watasema lugha hii "on good days" halafu wataacha kuyataja mambo ya kisayansi ambayo wanayajua yanayohusu "good day" ya mchezaji na timu kwa mechi ya Mkwakwani YANGA wanakabiliwa na UCHOVU wa mechi ya tarehe 05, ubovu wa kiwanja na kusafiri kwa basi kutoka Dar masaa 6 Coastal Union hawaja safiri mechi mbili zilizopita wameuzoea uwanja hawajacheza tangu Tarehe 01 wataingia kwenye mechi wakiwa fresh kuliko YANGA ....Yanga wanacheza CAF CL wataingia kwa tahadhari ya majeruhi kupatina wakiifikiria mechi dhidi ya CR Belouizdad kwa hiyo hawatacheza kwa kasi kupunguza majeruhi ambayo yanaweza kupatikana kutokana na uchovu (fatigue), ubovu wa kiwanja na Rafu za Coastal Union .... nina hakika kwa TFF hii wataweka refa mwenye maelekezo kuruhusu Yanga kuchewa rafu ili wasicheze vizuri kuhofia majeruhi na wachezaji wa YANGA wasipolijua hili watajikuta wanapewa kadi zisizo za maana kuwatoa mchezoni, TFF watakua wanatafuta kisasi baada ya timu pendwa kwao kufungwa ....Nina hakika Yanga isipopata matokeo Jeff na Maestro wata acha sababu zote hizi kuja na hoja potofu za ajabu ajabu halafu wanajiona ndio wachambuzi....!
Wachawi mmeanza kulalamika kabla ya mechi.
Au mmekosa watu wa kuhonga pale coastal?Maana usaliti wowote utajibiwa na wazee wa timu.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom