Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba club ya Simba ikimfukuzia mchezaji wa Yanga Aziz K.
Mkataba wa Yanga na Aziz K unaelekea ukingoni wakati wa dirisha dogo la usajili kufunguliwa.
Imekuwa ngumu kwa Yanga kumweka karibu mchezaji wakati huu akiwa kwenye majukumu ya taifa lake maana wametafuta mawasiliano baaada ya kusikia watani zao wanamyemelea lakini mawasiliano yamekuwa magumu hadi atakaporejea Dar es salaam.
Haishangazi kwa wachezaji wa kimataifa kurubunika dau linapofikiwa tusubiri mwisho wake, inaweza ikawa kama Morison alivyoondoka.
Maoni yako ni nini? Je unaridhika Aziz kuondoka Yanga ?
Je ikiwa kweli Simba mnaridhika kuwa na mchezaji kama Aziz?