Recent content by Kennedy Hincha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

    Tatizo kubwa la TBC ni " Uchama" zaidi!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wakili Albert Msando akatwa katwa mapanga Dar

    Get well soon Wakili Msomi!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Nawakumbuka makuruta wen zangu Itende JKT kina Calman Mkenda, Eliasi Ndutu,Mapinduzi Mwawalo, Anatalia Luwungo, Mpendwa Chitegile,Predikanda Chandalala,na wengineo wengi, lakini tulikuwa na kina Afande James,CO wetu kipindi hicho alikuwa Afande Martin Madatta, na II I/C wake ail kuwa Marehemu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natamani kuchana vyeti!

    Usikate tamaa huenda mwaka huu wa 2016 Ikawa mwisho wa kutoajiriwa na ndivyo itakavyokuwa, Hali hiyo uliyonayo imewahi kutupata hata sisi wengine lakini takribani miaka Kama yako baada ya kuhitimu shule tulipata ajira na kuna watu walitutia Moyo Kama tunavyofanya kwako kwamba hata ipite miaka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Makonda aanze upya, Aombe radhi

    Mwenyezi Mungu Hana wa kufanana naye asilani !!!!!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Duh dunia inaelekea kiama sasa, nimesoma Maelezo haya zaidi ya Mara nne Nikiwa Kama vile naota ndoto!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    Bravo JD
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani ya kilugha ikipigwa (hasa kwenye harusi) watu wanaserebuka vya kutosha?

    Tummoghelee tummmoghele!!! Tummogheleee!!!!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu 'Maoni ya Dr. Slaa' juu ya pesa za wahanga wa tetemeko Bukoba

    I concur with u Malisa!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    Ahsante sana kwa historia hii ya kukumbukwa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtembelea Mke wake na Wagonjwa wengine Waliolazwa Muhimbili

    Get well soon Mom
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya jangili, mtoto wa mbunge wa CCM ina utata; TAKUKURU ifanye uchunguzi. .

    Kiasi cha faini gawanya kwa 10 utapata thamani halisi ya nyara zilizokutwa, kwa lugha nyepesi thamani ya nyara ni Tshs. 13,839,000/= na siyo hizo 138,390,000/ kama ilivyonukuliwa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mabundi na Mapaka yamekuwa yakilia karibu na dirsha langu? Is there anything to worry about?

    Yakianza kulia tu toka nje na fimbo yafurumushe hamna uchawivl hapo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mahondo aliyekuwa Meya wa Mwanza na mkewe wavuliwa uanachama wa CCM

    Nadhani anaitwa Bihondo siyo Mahondo
Back
Top Bottom