Recent content by kennedy fikot

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa Wanao Tafuta Kiki Baada Ya Mwaka Kuwapoteza

    Huyo aliyeshika mike ni nani af mbona kama yuko peku.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?

    "Weak people revenge, strong people forgive and intelligent people ignore" Manara yampasa apotezee tu Jery muro ni mzee wa matukio
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete akataa kuishi Msoga? Anataka kuishi wapi?

    Mkwepa kodi kwani ukistaafu lazima uishi ulikozaliwa! Maisha popote mwache mkwele wa watu akaishi atakako hata palestina aende tu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli Afanya Mazungumzo Na Shein Leo Ikulu

    Shein mbona kapungua sana jaman
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wassira aliitabiria kifo CHADEMA kisiasa, kafa yeye

    Acha akalalage nyumbani tu alikua analitia bunge aibu kwa kulalalala bungeni cheki alivo utadhani dudu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yametimia: Ugumu wa maisha umeanza kujitokeza

    Kwenye maisha hakuna hali ya kudumu.mmekwepa kodi kipindi cha jk wakati wa kurudisha hela za uma ushafika
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yametimia: Ugumu wa maisha umeanza kujitokeza

    Lipeni kodi msiishie kulalamika tu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Mwanae jk mbona anakanusha au ndo kujihami
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wizara nzito wanapopewa mawaziri mizigo:

    Kuna kiongozi mmoja wa chama tawala aliwahi kusema kuna baadhi ya mambo kwenye nchi hii hayaendi sawa kwasababu baadhi ya mawaziri kuwa ni mizigo. Wizara ya Maliasili na utalii ni moja ya wizara mzito na ni wizara nyeti sana, napata hofu kwa huyu waziri aliyeteuliwa kuisimamia hiyo wizara mama...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Magembe kama alishindwa kasi ya speed 40 ya mkwere ataiweza speed 120 ya Mag?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Grade Mpya za matokeo Necta ni jipu, Limepata mtumbuaji..

    Hivi lazima kila waziri aje na mfumo wake? Hii elimu yetu tutakua tunaiyumbisha aisee
  12. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Suleiman Kova ni Makamu wa IGP au ndio msemaji mkuu wa Jeshi?

    Itakua ni hulka yake kuongea sana tangia yupo mbeya
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Hongera JPM kwa kusikiliza maoni ya wana jf ila kwa Magembe duuuuuuu!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Napata shida na utenda wa huyo pr. Mag
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa kifo cha Deo Filikunjombe

    Kila mtu atakufa kwa style yake mwacheni Deo apumzike kwa amani jamani
Back
Top Bottom