MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Nimeona kwa mbali habari hii kwenye gazeti la mtanzania lakini sijaisoma Tafadhali aliyeisoma vizuri atuhabarishe
Jf inatosha mkuuUko interested si ungenunua tu,au hawana websit usome habari
Uko interested si ungenunua tu,au hawana websit usome habari
Utakwepa kodi hadi lini?
Nunua gazette tupate kodi yako
Anakwepa kodi.
naunga mkono hoja, huku ni kuingilia his right to privacy, yuko huru kuishi popote, Msoga, Bagamoyo Mlingotini, Pale Regent au hata ulaya!. JK ni mstaafu yuko huru!.Ana Uhuru wa kuishi popote! Mbona Mkapa haishi masasi.
Ana Uhuru wa kuishi popote! Mbona Mkapa haishi masasi.
Aende aishi ulaya si anapenda anasa
Kweli mkuu, tuhabarishe basiMnamuota Kikwete. Na sasa mtaungua zaidi kwani Kikwete ni wakimataifa zaidi kwa sasa.
Wadhifa aliopewa na Ban Ki Moon mbali ya kuwa ni Mwenyekiti wa watu mashuhuri duniani unamfanya apae duniani kote zaidi ya alipokuwa Rais.
Kama unawajuwa watu mashuhuri duniani basi elewa kuwa kwa sasa Kikwete ndiye boss wao.
Muendelee tu kukabwa na vijiba vya roho.
Kikwete hata wale wenye chuki nae ni lazima wam-admire tu.
Hamna cha kujadili majungu tuu
Sijausikia huo uteuzi wa Ban Ki Moon...Mnamuota Kikwete. Na sasa mtaungua zaidi kwani Kikwete ni wakimataifa zaidi kwa sasa.