2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
Wanasiasa Waliopo Na Waliostahafu 2015, Dr.Slaa, Zito, Warioba, Vasco, Lipumba. Nk Kwa Namna Fulani Wamejieleza Na Kujionyesha Hadi Kwenda Ikulu Ili Warudi Kwenye Chati. Sijui Kama Watized Watawaelewa. Bado Wanahangaika Kufukua Makaburi Walimozikwa Na Kujizika, While Life Goes On. Hata Hivyo Inaonyesha Maisha Yanawezekana Bila Wao. Wangeendelea Tu Na Biashara Nyingine Sio Lazima Siasa, Pesa Wanayo. Somo Tulilopata, Bila Tume Huru, Upinzani Ni Ndoto Kufika Magogoni.