Wizara nzito wanapopewa mawaziri mizigo:

kennedy fikot

Member
Nov 28, 2015
38
3
Kuna kiongozi mmoja wa chama tawala aliwahi kusema kuna baadhi ya mambo kwenye nchi hii hayaendi sawa kwasababu baadhi ya mawaziri kuwa ni mizigo.

Wizara ya Maliasili na utalii ni moja ya wizara mzito na ni wizara nyeti sana, napata hofu kwa huyu waziri aliyeteuliwa kuisimamia hiyo wizara mama kama anaweza kuimudu.

Huu ni mtazamo wangu wana jf nyie mnalionaje hili.
 
Back
Top Bottom