General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,061
Wakuu kama tulivyoona mkuu kamteuwa Dr Ndalichako ambaye alikuwa katibu mkuu wa Necta baada ya kujiuzulu.
Ingawa haikuwekwa wazi, ila ni kweli Ndalichako alijiuzulu baada ya kukaidi kushusha grade za matokeo mwaka 2012 pale ilipo onekana wamefeli sana.
Hizi grade za mauwa za kumfurahisha Kikwete na kawambwa zimetuvunjia heshima mtaani.
Mtu Una B ya physics iliyokuwa inaanzia 64-75 lkn leo vitoto vya digitali akipata 50 nayo ni B afu analeta zarau.
Tunaomba Dr Ndalichako ufanye kile kinnachopaswa kufanywaa.
Rejesha heshima iliyopotea katika elimu.
Moderator, Invisible msiitumbuee hii post, mana mliifanya ni jipu

Last edited by a moderator: