Binafsi sijui..lakini ukishagundua idadi yao itakusaidia nini? Kumbuka hata kama wameomba watu 100, na nafasi inahitajika moja, bado yaweza kuwa ndio yako hiyo nafasi.
Ubaya ni kwamba, hata hizo nafasi za kujitolea zinatolewa kwa kujuana. Kuna ambaye yuko nyumbani anatamani ajitolee ila anakosa wa kumshika mkono. Ukisema anayejitolea umuajiri na asiyejitolea umuache ni kumuonea. Watu waajiriwe kwa kufanya interview na kufaulu basi.
Napenda kumshukuru Mungu, nimelamba mrija wa asali baada ya kuhustle miaka 4. Kwangu bado ni kama ndoto, sina hata mengi ya kuandika...Nawaombea wote ambao bado mnatafuta Mungu akawaonekanie!
Sijajua kwa wengine...ila sisi ilikua aliyewahi kuandika jina kwenye list basi ndio wanafuata hiyo. Na kama mtu ana special case either mgonjwa/ananyonyesha/mlemavu anapewa kipaumbele afanye awahi kutoka
Unaweza hata kuwaomba wenzio uingie wa kwanza kama una private concern
Suala la marks za...
Kama cheti ni fake, wakikiangalia tu wanakigundua na hawaruhusu mtu afanye usaili. Wako makini sana wale, hawaangalii tu mfanano wa majina. Nimeshashuhudia
Hili jambo la msingi sana, nilishawahi kukosa interview hivi hivi kisa venue kubadilika. Uzuri nilikua na interview mbili siku hiyo, so nikaishia kufanya moja tu iliyobakia. Wanabadilisha venue kimya kimya, sijui ndo kuchuja watu kijanja
Kwa hiyo kwa kifupi...
SELECTED FOR ORAL (Green) kwenye app maana yake ujiandae kujiona pdf
Si ndio mkuu?[emoji38][emoji38]
Japokua hizi status mimi sikuwa naziamini tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.