Recent content by KENET

  1. K

    Ni muhitimu yupi UDSM aliyehitimu shahada ya masomo ya Computer anaweza kuthibitisha anajua coding?

    Inaweza kuwa na ukweli lakini siyo UDSM tu vyuo vingi inaweza kuwa hivyo na hata vya huko nje.Kwa maana kama first degree tunasoma General knowledge sasa kujua hicho ulichokisema ni kuwa wapo wanaojua wamesoma hapo udsm ila inategemea baada ya kumaliza degree yako umeanza kufanya kazi kwenye...
  2. K

    Kipi ni chuo bora kwa kozi za Engineering kati ya UDSM,DIT na MUST ?

    Kiufupi vyuo vyote(DIT & COET) ni vizuri uzuri wa mtu hauangalii chuo alichosoma ila ni juhudi yake na bidii katika masomo na kujituma akiwa kazini hizi zingine hapa ni mbwembwe na ushabiki tu.Maana ukienda kazini unakuwa na General knowledge ya Engineering sasa kujituma kwako kule kazini na...
  3. K

    Mawaziri Lukuvi, Simbachawene, Manyanya hawakupita Form 6

    Tatizo wewe mtoa mada hii hukumwelewa Ndalichako unaanza kukurupuka tu na kuanza kuwataja waheshimiwa bila kufanya uchunguzi walisoma mfumo gani wa elimu. Ndalichako kasema kama umefaulu vizuri form four ukaenda kusoma Ordinary Diploma/FTC katika vyuo vya Ufundi kama DIT ,TCA au MTC na ukafaulu...
  4. K

    Selection kidato cha kwanza 2017

    Mwenye majina na shule walizopangiwa kidato cha kwanza 2017 wanafunzi waliomaliza darasa la saba wilaya Kinondoni Dar Es Salaam.
  5. K

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Ahsante Dr kwa ushauri ngoja nikanunue hiyo tube na kuanza kutumia nikimaliza nitakupa mrejesho
  6. K

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    CLOBEN-G ndiyo dawa walinipa ya kupaka nilipewaTube 1 na niliitumia mpaka nikaimaliza lakini vipele havijaisha
  7. K

    Medical Students are not Creative than engineering students?

    Tatizo wewe inaonyesha upeo wako mdogo. Haiwezekani hata kidogo na wala haitawahi tokea Engineer awe sawa na fundi anayejenga kwa matofali mtaani au anayefanya wiring za umeme . Inaonyesha wewe una chuki binafsi na fani za watu. Engineer atabaki kuwa Engineer na fundi atabaki kuwa fundi
  8. K

    Medical Students are not Creative than engineering students?

    Dogo sijakuelewa lengo lako ni nini kufanya comparison ya watu ambao wako fani tofauti.Kila fani ni nzuri awe mwalimu,doctor,Mhasibu au Engineer inategemea wewe unapendelea nini.Huwa tunasema tu mara nyingi Doctor Fulani ni mzuri kuliko Doctor Fulani labda kwa upande wa kinamama.watoto n.k. Pia...
  9. K

    Medical Students are not Creative than engineering students?

    Kwa mtazamo wangu tu aliyeanziaha mada inaonyesha bado ana ufahamu mdogo na masuala ya taalamu za watu sana sana kama amesoma mwisho kidato cha nne.
  10. K

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Habari Dr Nimetokewa na vipele vingi vidovidogo mikononi na miguuni tu. Vipele haviwashi wala haviumi. Nimeenda hospital wakanipima damu wakasema inawezekana ni allegy kutokana na vyakula ninavyotumia.Akanishauri nikapime kipimo cha allegy ambacho bado sijakifanya.Wakanipa dawa ya kupaka tu...
  11. K

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Utumishi wa umma ni kazi ya kujitolea si pa kujilipa mamilioni- Mwl Julius Nyerere
  12. K

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    You have freedom of speech,but freedom after speech that I cannot quarantee you- IDD AMIN
  13. K

    Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

    Mimi ni mwanaume.Kuna tatizo limenitokea kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Nakula na kulala vizuri wala sina mawazo yoyoe ila nimepoteza ghafla hamu yakufanya tendo la ndoa na mpenzi wangu tangu mwaka jana. Tunaweza kulala naye kitanda kimoja kwa siku mbili mpaka tatu bila ya kuwa na...
  14. K

    Diamond akataa milioni mia tano za Lowassa

    Gazeti lenyewe la udaku wala mimi huwa sina muda wa kusoma wala kuanglia magazeti kama hayo. Sanasana kina mama wa majumbani na wale kinadada wa mitaani uswahilini ndiyo utakuta wanasoma magazeti kama hayo
Back
Top Bottom