hahah wewe jamaa unamatitizo
kwa hiyo wimbo ukibeba jina la mhusika ndio haufai kwa wengine,
kwa hiyo vaileti ya matonya au Salome ya diamond haifai kumuimbia demu wangu.
Point ni kwamba kazi ikiwa bora hta ukimuimbia Gadafi kwa utunzi mzuri itaishi tuh
unaleta ubishi wa kijinga,
kwenye kazi yake mola ya madee imetajwa familia nzima ya akina tale pamoja na waombolezaji wake, na ile ngoma ilikuw special kwa familia tuh ,
Kwa GK wimbo una story nzima
Paul worker 😅😅😅
huwe unasikiliza nyimbo kabla hujudandia mada
usilete siasa kwenye mziki wewe, kama hujui kaa kimya bt unajifanya mjuaji kumbe bonge la kilaza.
Hapa naongelea ubora wa kazi na sio kukurupuka na mihemko,
Unaujua kama wimbo wa madee kazi yake mola ilitolewa kwa sababu ya kuomboleza msiba wa ndugu yake na Abdul bonge,
nakupa mifano mingine...
Hawa wasanii wa trending lazima wajue hzo nyimbo wanazotoa sasa hivi kutokana na maudhui yake ni kwa siku 21 tuh za maombolezo,
Inabidi wajifunze kwa wakongwe sio linapotokea tukio tu unawahi studio kurecord, unaweza ukajipa muda ukaandaa ngoma ikaishi milele, sio wanatulisha bigG daily
Hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.