Recent content by Kendrich

  1. Kendrich

    JamiiForums Tanzania Kodtec Speaker systems

    Inatufikiaje huku Tz mkuu
  2. Kendrich

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Toa link mkuu Sent from my 23013RK75C using JamiiForums mobile app
  3. Kendrich

    JamiiForums Tanzania MAONI: Kwenye battle ya flagships, hakuna brand inayoizidi Samsung, hata iPhone haishiki moto wa Samsung

    Umewakimbia Redmi mkuu? Ulinifanya nizipende simu za redmi japo saiz natamani kushika flagship moja hata ya used tu.
  4. Kendrich

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

    Shida siku hizi mmekuwa wadhaifu sana[emoji419][emoji375]
  5. Kendrich

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari hii ya milioni 9 inafaa? Nipeni uzoefu nisije nikapigwa

    Hiyo mllion 3 tu kinyume na hapo tafuta second hand ya mzungu
  6. Kendrich

    JamiiForums Tanzania Mema kwa mkulima wa Tanzania... Bashe na Rais Samia wanafanya kweli

    Shule za kilimo zilishafutwa na kujaza form five na six sasa hapo kilimo kinasongaje mbele kama hatuwekezi kwenye elimu ya kilimo na ufugaji kwa Watoto wetu.
  7. Kendrich

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nimejisikia vibaya sana hii story kukatishwa kwa sababu ya ujuaji wa watu wachache. Lakini mtoa mada kama utamua kutujali sisi tuliokuwa tunafuatilia na kujifunza naomba ufanye jambo moja kwa ajili yetu Andika stori yako mpaka iishe the upositi vipande vyo vilivyobakia kwa pamoja. Hii itasaidia...
  8. Kendrich

    JamiiForums Tanzania Napateje kitabu cha Sitasahau Gamboshi PDF(Softcopy)

    Unacho?
  9. Kendrich

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mwalimu, napata faida zifuatazo kwa kazi ya Ualimu

    Lengo la kufungua Uzi Nini kujigamba au?
  10. Kendrich

    JamiiForums Tanzania Napateje kitabu cha Sitasahau Gamboshi PDF(Softcopy)

    Mwendelezo wake vip,Naona hiki simulizi imeishia njiani
  11. Kendrich

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo vipi vilimpa Hussein Bashe Uwaziri wa Kilimo?

    Bashe ni mmoja wa mawaziri bora kuwahi kutokea katika nchi. Bashe ndo atayeinua secta ya kilimo. Wewe unataka upate mshahara mkubwa alafu ununua mahindi yetu kwa bei ya chini,wakati gharama za uzalishaji ziko juu.
  12. Kendrich

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera sana,umetisha sana.
  13. Kendrich

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante kwa ufafanuzi mkuu nimeelewa vizuri
  14. Kendrich

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizi code mnazitumiaje wadau nilipotea kwa muda kwenye huu uzi naomba ufafanuzi niweze kutambaa nazo
  15. Kendrich

    JamiiForums Tanzania Baina ya hawa ni yupi mtu sahihi apewe wizara ya Nishati kuihudumu?

    Kweli kabisa. Napata ugumu sana kuelewa nia ya viongozi wetu utakuta mtu sahihi anaondolewa kwenye wizara analetwa mtu ambaye hawezi kumsaidia mwananchi wa kawaida. Kalemani na Sospeter Mhongo walijitahidi kwenye wizara ya Nishati.
Back
Top Bottom