Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,880
- 7,021
Mkuu nimekucheki pmUmechuka bei gani hyo 3004 pioneer?? Na wapi umechukulia?
Mkuu nimekucheki pmUmechuka bei gani hyo 3004 pioneer?? Na wapi umechukulia?
Nmechukua kwa 14,500 kesUmechuka bei gani hyo 3004 pioneer?? Na wapi umechukulia?
Umeubeba wapi huu mshangazi? Mi nataka 3004D4 inanitosha,sema bongo bei sanaWakuu hii hapa samurai mama wa mishangazi wote nmeshabeba 15 inches
Ingia nairobi pale 3004d4 mpya unaipata 400k mpaka 380kU
Umeubeba wapi huu mshangazi? Mi nataka 3004D4 inanitosha,sema bongo bei sana
Hongera sana mkuu,my dreem speaker, nataka nipate na ile amp yake, nitengeneze box zuri kabisa la kuvutia kukaa sebuleni,nile lows za maanaPioneer 3004d4 prp ipo
Umeagiza kwa mfumo gani hapo nairobiIngia nairobi pale 3004d4 mpya unaipata 400k mpaka 380k
Hongera sana mkuu,my dreem speaker, nataka nipate na ile amp yake, nitengeneze box zuri kabisa la kuvutia kukaa sebuleni,nile lows za maana
Sijaona mkuuMkuu nimekucheki pm
Hongera Sana mkuu kupata hyo SAMURAI PIONEER TS-3820Wakuu hii hapa samurai mama wa mishangazi wote nmeshabeba 15 inches
NAkubali mkuu Umemsahau 3002 SPL, PIONEER PREMIER 3004d4 Mexican versionHongera Sana mkuu kupata hyo SAMURAI PIONEER TS-3820
Ila hawa akina PIONEER TS-W8102 na TS -W5102 ndo WAZEE WA UKOO ndo top of the SPL subwoofers kwa pioneer
Zinaenda hadi watts 3000rms ligi za akina sundown and ground zero subwoofers.
www.jiji.keUmeagiza kwa mfumo gani hapo nairobi
Hapo kwenye lows za 3004d4 ndo penyewe maana sio kwa excursion ile ya cone upto 19mm xmaxHongera sana mkuu,my dreem speaker, nataka nipate na ile amp yake, nitengeneze box zuri kabisa la kuvutia kukaa sebuleni,nile lows za maana
Kuna hii amp ilitengenezwa specific kwa ajili ya hii sub, vp hiyo kenwood ni zaidi ya hii?Hapo kwenye lows za 3004d4 ndo penyewe maana sio kwa excursion ile ya cone upto 19mm xmax
Alafu hio 3004d4 inatakiwa ipewe kenwood 9105d au PS-917D ile ya 1000rms. Kama unataka power na lows za kibabe
Inatufikiaje huku Tz mkuu
Boss Kuna kitu kinaitwa bass boost frequency,Kuna hii amp ilitengenezwa specific kwa ajili ya hii sub, vp hiyo kenwood ni zaidi ya hii?View attachment 3516155
Kuna transporter wangu kutoka huko huwa ananiletea kutoka hukoInatufikiaje huku Tz mkuu
Nakubali hapo #Certified BASSHEADInakuaje Mzee, sasa nmeleta mshangazi wa Vietnam 🇻🇳magetoni🔥🔥🔥View attachment 3265130View attachment 3265132View attachment 3265135View attachment 3265137View attachment 3265166View attachment 3265165