Alichokisema CAG hakina tofauti na wimbo wa mkuu wa nchi kuhusu Upigaji wa dili unaofanywa na watanzania na bunge linafumba macho na halina habari. Wacha CAG amsaidie mkuu wa nchi.
Tumeshuhudia miezi michache iliopita Israeli ilifanya mauaji ya kinyama dhidi ya jamaa zao Wapalestina , Israel iliwaua Wapalestina zaidi ya 60 kwa kosa la kufanya maandamano kupinga ubalozi wa Marekani kuhamishwa kutoka Teraviv kwenda Jerusalem. Walio wengi walipongeza na kuita mauaji teule...

Kama utatoa pesa usiyoijua chanzo chake hutakwepa kuitwa mwizi. Na ukijifanya kushtaki utanyea ndoo tu kwani sheria ni msumeno na watoa hukumu mahakamani Hutumia references mbalimbali kabla ya kutoa hukumu.
Hapana huu si ushauri mzuri. Nadhani ipo haja ya vodacom kuboresha mifumo ya ulinzi wa fedha ili kuwalinda wateja wema. Ulinzi huu ni pamoj
a na kuweka deni kwenye akaunti ya mteja aliyetumiwa kimakosa ili atakapoweka fedha akatwe. Tunailalamikia Vodacom kwa kuwa ndiyo walengwa katika thread...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.