sio lazima uonekane unatoa uzi ,muda mwingine kuwa mchangiaji tuu,sasa wapi umeelezea why Israel ime surrender?unapotoa mada waka nyama ili ukweli uwepo,naona umekurupuka bila ya kufanya utafiti wa kina,na elewa hizo Missile S300 sio kuwa ni water tight kuzuia mashambulizi ya ndege na elewa equipments hizi zinategemea zaidi wanao zioperate,S300 inaweza kuwa ni silaha nzuri ila nchi husika ina uwezo wa kuzitumia?kumbuka vita ya Misri na Israel miaka hiyo kwenye jangwa la Sinai kuhusu ile Raddar ya kirusi,waisrael waliweza kuiteka na kuifunga kwenye helicopter yao na kuirudisha Israel.