Recent content by kemondaro57

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto kufunguka Jumatatu na kueleza jinsi Diamond alivyo ahidi kumuoa

    Mwache ashupaze shingo! ni upuuzi tu ndo unamsumbua, wale shoga zake wanaomjaza kiburi wanashindwa kumshauri mema ajue siku akimwagwa watamcheka.For the sake of that boy,better to keep quite. Chambilecho kwani ndoa lazima! At the end of the saga she will be the loose!"!"""
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa ni vita

    Uzi huu na jina lako vinaendana kabisaaaa!!!!!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Mmasai tulikuwa tunasafiri naye alinishangaza

    Sasa hapo nini cha kukushangaza?.Basi baki na huyo mfu umle nyama, Mmasai yuko sahihi kabisa!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Clouds fm Fiesta na Ubaguzi wa waziwazi wa Wasanii kutoka Musoma ( Best Nasso, Chief Maker N.k )

    Omos---ni nyamo----ne!!!!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tujipange: Kutaifishwa mzigo wa almasi Airport ni mwanzo wa vita ya kibiashara kati ya Tz na De-Beers

    Darasa tosha kabisa!!!! Bro Barafu huchoki kufundisha, nondo zako bab-kubwa yaani zimeshibaaaaa!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Ebu taarifa yako hiyo ifanye vice-versa!!!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa ni kwa nini Lissu anapinga taarifa ya makinikia ya prof. Mruma na Ossoro!

    "Time will tell" hata robo mwaka haujaisha, kweli imeshaanza dhihiri.Ama kweli"Time will tell" Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Whitedent wanatumia Siri gani "kuua" brands nyingine za dawa za meno eg "Aha, AfyaDent na Colgate ?

    Achana na kitu Colgate!!! Hiyo level nyingine. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mkataba Mlimani City kufumuliwa baada ya CAG kushtukia upigaji wa kudumu miaka 50-85

    Tashwish yangu hatimaye imepata jibu! Hawa tunaowaita wasomi ukiona wanasita kuikosoa serikali ujue kuna kitu, CAG hatimaye ameweka mambo hadharani.Usual this guys are the most outspoken when things don't go well, unless they hide something shame on you. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uamuzi kuhusiana na kesi ya “dikteta uchwara” inayomkabili Tundu Lissu unatarajiwa kutolewa Oktoba 4

    Thanks a lot bro.Mselewa kwa ufafanuzi wako, maana wengi wetu tulikuwa tunadhani vinginevyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu, Katibu Mkuu Mashinji na Mwenyekiti Mbowe

    Je upande wa pili katiba yao inasemaje kuhusu hili? Maana isiwe ndo yale yale.Fifa kuna kipengere kama hiki na vile vile baadhi ya taasisi za dini kuna kipengere hiki. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wakili msomi Peter Kibatala: Wasifu (CV) wake na historia yake katika kuendesha kesi

    Unless uwe hujawashuhudia mawakili wanavyoendesha kesi, utaona maswali ya Kibatala ya kitoto. Vyema kunyamaza na kupanga muda, kisha uende mahakamani uone jinsi wanavyotekeleza majukumu yao.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwani mtoto chini ya mwezi mmoja huwa analia sana

    Aisee!!! Umegonga pale pale, nimepata mjukuu yapata wiki mbili sasa yaani usiku hatulali.Wajuzi wa mambo haya hebu njooni mtusaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dunia ya Soka impe Luka Modric heshima yake

    Unashangaa nini, kwani Makelele ikikuwaje? .Hawa jamaa ndo walivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania INTERNET BUNDLES: Vodacom Vs Tigo Vs Airtel Vs Halotel

    Voda ndo mpango mzima huku kwetu kanda ya ziwa, mb 1024 kwa buku tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom