Sijaelewa ni kwa nini Lissu anapinga taarifa ya makinikia ya prof. Mruma na Ossoro!

Tatizo nyie mbwa huwa ni wajinga
Hamuelewi kitu
Nyinyi mmeambiwa zile ripoti mmezikopi kutoka zile za zamani
MBWA BABA NA MAMA YAKO WALIOKUFUNDSHA UKAKOSA ADABU NA KUTUKANA USIO WAJUA TUME ZOTE ZIMEFANYAKAZI BILA KUPUNGUKWA KITU LEO UNASEMA WAME COPY NA KUPASTE KWAKUWA NI WAPUMBAVU KAMA BABA YAKO AU?
 
Nimejaribu kufuatilia kwa kina taarifa za kamati zote mbili za uchunhuzi wa mchanga wa madini yanayosafirishwa kwenda nje na kampuni ya ACACIA, Binafsi ninaona kama zina ukweli lakini napata shida sana pale ninapomsikiliza Mh.Tundu Lissu akipinga vikali taarifa hizo kwamba zimekuzwa mno na kwamba kiwango cha madini kilichotajwa kupatikana humo SI KWELI!

NO RESEARCH,NO RIGHT TO SPEAK;
Ninaomba nithibitishe kuwa kiwango cha madini(dhahabu tu) cha wastani wa kilo 28-47 katika kila kontena ni KWELI!
Nimekaa kwa muda mrefu sana katika kijiji cha KAKOLA ambacho kipo pembezoni tu mwa mgodi wa Bulyanhulu (1.5km),enzi za miaka ya 2005-2008 kuna deal zilizokuwa zikifanyika kati ya madereva waliokuwa wakisafirisha mchanga kwenye makontena na baadhi ya wakazi wa maeneo hayo ili kupata mchanga huo kwa njia za panya. Kiukweli watu walineemeka sana!

Baada ya kupata mkanganyiko qa taarifa za Mruma na msimamo wa Lissu ilinibidi nifanye UTAFITI mdogo ili kupata walau kujua kuwa ni nani MKWELI?
Ilinibidi nianze kuwatafta baadhi ya watu ambao walikua wanaupata mchanga huo na kuuprocess kwa njia za kienyeji kabisa.
Nilibahatika kuonana na vijana kama watano kwa muda tofauti tofauti amabao walikua wanashiriki na swali la msingi niliokua nawauliza ni JE KATIKA KILA MFUKO WA KILO 50 MLIPATA KIASI GANI CHA DHAHABU?
Majibu yao yalionekana kufanana sana ambapo walidai katika kila mfuko wa kilo 50 walipata wastani wa GRAMS 60-200 ya dhahabu.
Baada ya kujua hivyo ilinibidi kukokotoa ili nijue kontena zima lenye TANI 20 litatoa kiasi gano cha dhahabu?
Kwa kutumia wastani wa chini kabisa nilipata kila kontena GRAMS 24000 ambazo ni sawa na KILO 24, Ikbukwe kuwa hii ni local processing!

Sasa nikijaribu kilinganisha taarifa za Prof Mruma ambapo yeye anasema katika kila kontena la tani 20 lina wastani wa kilo 28-47 tofauti na taarifa za ACACIA zilizodai kuwa kila kontena lina wastani wa kil 3-5 ya dhahabu!

Mpaka hapo nashindwa kuelewa kwa nini baadhi ya viongozi kama Tundu Lissu anapinga taarifa za tume hizo
mkuu, huwezi kumwelewa Lissu hata siku moja. na si kosa lako bali ni katatizo ka Watanzania tulio wengi - tuna IQ ndogo sana.

ukiangalia jedwali la hapa chini utagundua kuwa ni watu wachache (Lissu akiwa mmojawapo) ndiyo wanaoipandisha kidogo overall IQ ya Tanzania kuwa juu ya nchi kama Zimbabwe na DRC.
tungebaki watu kama mimi na wewe nadhani Tanzania ingekuwa kwenye rank ya Equatorial Guinea.

wacha tu Lissu aendelee kutubeba!

main-qimg-3709717f6b5938b61eef9aab9f5d3049
 
MKUU HAUHTAJI KUELEWA KUWA TUNDU ANAHONGWA NA MAKAMPUNI TUNAYOYATUHUMU KWA HIYO HAKUNA CHOCHOTE KITAKACHOFANYWA NA SERIKALI ATAUNGA MKONO WALIOFANYA UTAFITI NA UCHUNGUZI WA MADINI NI WATALAAMU WA MADINI NA UCHUMI YEYE KASOMA SHERIA LEVEL YA MASTERS LAKINI ANABISHANA NA PROF. MRUMA AMBAYE NI PROF WA GEOLOGY NA BADO ANAMUONA HAJUI KITU ILA YEYE TUNDU ALYESOMA HISTORIA NA KINGEREZA ANAJUA MPAKA MAMBO YA MADINI AIBU ILIYOJE KWAKE. TUME YA PILI IMEONGOZWA NA PROF. OSORO WA UCHUMI ANAYEHESHIMKA DUNANI LAKINI MPUMBAVU MMOJA MWENYE DEGREE MBILI ZA SHERIA ANABISHANA NAYE SASA HAUHITAJI PhD KUJUA TUNDU NI NANI NA ANATETEA NINI. JAMBO JNGNE LA KUJULZA N KWAMBA TUME ZOTE ZLKUWA NA MAMLAKA YA KUPATA TAARFA POPOTE NA KWA MTU YEYOTE YEYE TUNDU ANASEMA ZIMEPKWA JE YEYE TAARIFA ZAKE SAHIHI ANAZIPATA WAPI WAKATI HANA MAMLAKA YA KUMHOJI YEYOTE ISIPOKUWA WALOMTUMA? AKILI YA KUAMBIWA UNACHANGANYA NA ZAKO
 
Wakati mwingine usiwe kila unachorishwa wewe unakula tu,vingine jaribu kuipa kazi akili yako itafakari! Sio kila analosema Lissu lipo sawa!
 
Mkuu huu uliokuja nao ni utafiti kweli? Au ni observation yako? Ila muda ni mwalimu mzuri, Acacia watakuja na team yao wataupitia tena upya pamoja na team yetu hapo ndio tutaujua ukweli
 
Nimejaribu kufuatilia kwa kina taarifa za kamati zote mbili za uchunhuzi wa mchanga wa madini yanayosafirishwa kwenda nje na kampuni ya ACACIA, Binafsi ninaona kama zina ukweli lakini napata shida sana pale ninapomsikiliza Mh.Tundu Lissu akipinga vikali taarifa hizo kwamba zimekuzwa mno na kwamba kiwango cha madini kilichotajwa kupatikana humo SI KWELI!

NO RESEARCH,NO RIGHT TO SPEAK;
Ninaomba nithibitishe kuwa kiwango cha madini(dhahabu tu) cha wastani wa kilo 28-47 katika kila kontena ni KWELI!
Nimekaa kwa muda mrefu sana katika kijiji cha KAKOLA ambacho kipo pembezoni tu mwa mgodi wa Bulyanhulu (1.5km),enzi za miaka ya 2005-2008 kuna deal zilizokuwa zikifanyika kati ya madereva waliokuwa wakisafirisha mchanga kwenye makontena na baadhi ya wakazi wa maeneo hayo ili kupata mchanga huo kwa njia za panya. Kiukweli watu walineemeka sana!

Baada ya kupata mkanganyiko qa taarifa za Mruma na msimamo wa Lissu ilinibidi nifanye UTAFITI mdogo ili kupata walau kujua kuwa ni nani MKWELI?
Ilinibidi nianze kuwatafta baadhi ya watu ambao walikua wanaupata mchanga huo na kuuprocess kwa njia za kienyeji kabisa.
Nilibahatika kuonana na vijana kama watano kwa muda tofauti tofauti amabao walikua wanashiriki na swali la msingi niliokua nawauliza ni JE KATIKA KILA MFUKO WA KILO 50 MLIPATA KIASI GANI CHA DHAHABU?
Majibu yao yalionekana kufanana sana ambapo walidai katika kila mfuko wa kilo 50 walipata wastani wa GRAMS 60-200 ya dhahabu.
Baada ya kujua hivyo ilinibidi kukokotoa ili nijue kontena zima lenye TANI 20 litatoa kiasi gano cha dhahabu?
Kwa kutumia wastani wa chini kabisa nilipata kila kontena GRAMS 24000 ambazo ni sawa na KILO 24, Ikbukwe kuwa hii ni local processing!

Sasa nikijaribu kilinganisha taarifa za Prof Mruma ambapo yeye anasema katika kila kontena la tani 20 lina wastani wa kilo 28-47 tofauti na taarifa za ACACIA zilizodai kuwa kila kontena lina wastani wa kil 3-5 ya dhahabu!

Mpaka hapo nashindwa kuelewa kwa nini baadhi ya viongozi kama Tundu Lissu anapinga taarifa za tume hizo
tatizo una akili za piriton kichwa cha mbogo utaelewa vp? mwepes kusahau mgmu kuelewa utafaham nn? kichwan nahisi km kuna mafta ya taa hivi wanalipia.na road lisence utaelewa nn?
 
MKUU HAUHTAJI KUELEWA KUWA TUNDU ANAHONGWA NA MAKAMPUNI TUNAYOYATUHUMU KWA HIYO HAKUNA CHOCHOTE KITAKACHOFANYWA NA SERIKALI ATAUNGA MKONO WALIOFANYA UTAFITI NA UCHUNGUZI WA MADINI NI WATALAAMU WA MADINI NA UCHUMI YEYE KASOMA SHERIA LEVEL YA MASTERS LAKINI ANABISHANA NA PROF. MRUMA AMBAYE NI PROF WA GEOLOGY NA BADO ANAMUONA HAJUI KITU ILA YEYE TUNDU ALYESOMA HISTORIA NA KINGEREZA ANAJUA MPAKA MAMBO YA MADINI AIBU ILIYOJE KWAKE. TUME YA PILI IMEONGOZWA NA PROF. OSORO WA UCHUMI ANAYEHESHIMKA DUNANI LAKINI MPUMBAVU MMOJA MWENYE DEGREE MBILI ZA SHERIA ANABISHANA NAYE SASA HAUHITAJI PhD KUJUA TUNDU NI NANI NA ANATETEA NINI. JAMBO JNGNE LA KUJULZA N KWAMBA TUME ZOTE ZLKUWA NA MAMLAKA YA KUPATA TAARFA POPOTE NA KWA MTU YEYOTE YEYE TUNDU ANASEMA ZIMEPKWA JE YEYE TAARIFA ZAKE SAHIHI ANAZIPATA WAPI WAKATI HANA MAMLAKA YA KUMHOJI YEYOTE ISIPOKUWA WALOMTUMA? AKILI YA KUAMBIWA UNACHANGANYA NA ZAKO

Inaudhi zaidi unapoandika uharo kwa capital letters !
Kwani huyo mwenye phd ya thesisi ya kuandikiwa kwa theory yako ya kipuuzi anapata wapi sifa za kubishana na watu wenye taaluma nyingine na PhD za uhakika ?

Kuwa na PhD kwako wewe ni tija sana, kwani Muhongo aeshimiki duaniani ? Sasa huyu wako aliyekiri kusaini vitu bila kusoma just because he was too busy huoni km ni uozo wa kiazi mbatata ?

At times one wishes tuwe na live debate na watu km ninyi mngekua mnarudi home bila mataya !! Kuna ubongo mwingine bila kupigwa KO za kutosha hautafanya kazi milele !
 
SIBISHANI NA MPUMBAVU KWAKUWA WEWE KILA ASEMALO BABA YAKO TUNDU LISU LIMETOKA MBINGUNI. NA HIZO Phd ZA AKNA OSORO NA MRUMA ULIWAANDIKIA WEWE NA BABA YAKO TL KWAKUWA WATU WOTE TZ HAWANA AKILI ISIPOKUWA YEYE MLAANIWA TUNDU LISU
 
Profesa akakiri kuwa alisaini kalabrasha bila kulipitia,

Uvivu wa kiwango cha juu kabisa kwa level ya professor
 
Profesa mruma mpiga dili tu leo katetewa na mwenzie ndege wafananao huruka pamoja.
 
Kwa sababu amepewa pesa na hao wa nje anaowasaidia kufanya hayo.. ili atudabganye wananchi wa Tanzania.. ni wafata mikumbo ambao ni wasoma namba ndio wanamsikiliza.
 
Nimejaribu kufuatilia kwa kina taarifa za kamati zote mbili za uchunhuzi wa mchanga wa madini yanayosafirishwa kwenda nje na kampuni ya ACACIA, Binafsi ninaona kama zina ukweli lakini napata shida sana pale ninapomsikiliza Mh.Tundu Lissu akipinga vikali taarifa hizo kwamba zimekuzwa mno na kwamba kiwango cha madini kilichotajwa kupatikana humo SI KWELI!

NO RESEARCH,NO RIGHT TO SPEAK;
Ninaomba nithibitishe kuwa kiwango cha madini(dhahabu tu) cha wastani wa kilo 28-47 katika kila kontena ni KWELI!
Nimekaa kwa muda mrefu sana katika kijiji cha KAKOLA ambacho kipo pembezoni tu mwa mgodi wa Bulyanhulu (1.5km),enzi za miaka ya 2005-2008 kuna deal zilizokuwa zikifanyika kati ya madereva waliokuwa wakisafirisha mchanga kwenye makontena na baadhi ya wakazi wa maeneo hayo ili kupata mchanga huo kwa njia za panya. Kiukweli watu walineemeka sana!

Baada ya kupata mkanganyiko qa taarifa za Mruma na msimamo wa Lissu ilinibidi nifanye UTAFITI mdogo ili kupata walau kujua kuwa ni nani MKWELI?
Ilinibidi nianze kuwatafta baadhi ya watu ambao walikua wanaupata mchanga huo na kuuprocess kwa njia za kienyeji kabisa.
Nilibahatika kuonana na vijana kama watano kwa muda tofauti tofauti amabao walikua wanashiriki na swali la msingi niliokua nawauliza ni JE KATIKA KILA MFUKO WA KILO 50 MLIPATA KIASI GANI CHA DHAHABU?
Majibu yao yalionekana kufanana sana ambapo walidai katika kila mfuko wa kilo 50 walipata wastani wa GRAMS 60-200 ya dhahabu.
Baada ya kujua hivyo ilinibidi kukokotoa ili nijue kontena zima lenye TANI 20 litatoa kiasi gano cha dhahabu?
Kwa kutumia wastani wa chini kabisa nilipata kila kontena GRAMS 24000 ambazo ni sawa na KILO 24, Ikbukwe kuwa hii ni local processing!

Sasa nikijaribu kilinganisha taarifa za Prof Mruma ambapo yeye anasema katika kila kontena la tani 20 lina wastani wa kilo 28-47 tofauti na taarifa za ACACIA zilizodai kuwa kila kontena lina wastani wa kil 3-5 ya dhahabu!

Mpaka hapo nashindwa kuelewa kwa nini baadhi ya viongozi kama Tundu Lissu anapinga taarifa za tume hizo
Kwanza kabisa ripoti zote hazina credibility kwa sababu aliyewatuma kufanya kazi ana matokeo yake anatafuta.

Hazina independence. Waandika ripotini wafanyakaziwa serikali. Wanaandikaripoti wakati serikali ina mgogoro na wawekezajina inataka majibu fulani. Rais ndiye anateua waandika ripoti. Rais anajulikana ubabe wake na asivyotaka watu wanaom challenge.

Sasa hapoutategemea vipi ripoti iwe na uhuru wa kuandika ukweli?
 
Back
Top Bottom