Imewahi Nikita hii kwenye flan ya kiselikali, mpk nikaachishwa kazi kwa zengwe kubwa mmmno!. Iko hivi, no matter what, baada ya kujua kasoro za mabosi wako, tenga muda wa kutafuta kasoro within yourself and be super honest, firm and fair. Nilipojitafakari, nilikuja kugundua Nina kasoro kadhaa...