Kisa hayupo kwenye msafara wa mkulu.
=====
RAIS MAGUFULI AMTIMUA KAZI KAMANDA WA TAKUKURU MTWARA
Rais Magufuli amemfukuza kazi Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Mtwara baada ya kumuita mkutanoni Masasi akawa hayupo
Amuagiza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo kuteua...