Jambo CHADEMA kukataa kuhamia Dodoma

Jambo CHADEMA kukataa kuhamia Dodoma

Mimi sijaona galama kwa upande wa chadema bora wangelalamika chama cha cuf , kwasababu cuf wanayo majengo ya ofisi , chadema wao ni wapangaji kuhama ni dakika tu kodi ikiisha wanahama
Unajua maana ya ofisi kijana
 
Msajili wa vyama alisema ofisi yake imeamia Dodoma akawahambia vyama vya siasa vitakuwa vinafata Huduma Dodoma kwaiyo akawashauli wahamie Dodoma ili waweze kuhudumiwa kwa ukaribu zaid
Kwani lazma?
Vyama navyo vimekuwa agency za serkali?
Mbona The man with chea hananiliu…….
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kumbe alishauri!

Kuna kufuata ushauri au kuupuuza
Msajili wa vyama alisema ofisi yake imeamia Dodoma akawahambia vyama vya siasa vitakuwa vinafata Huduma Dodoma kwaiyo akawashauli wahamie Dodoma ili waweze kuhudumiwa kwa ukaribu zaid
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Msajili wa vyama alisema ofisi yake imeamia Dodoma akawahambia vyama vya siasa vitakuwa vinafata Huduma Dodoma kwaiyo akawashauli wahamie Dodoma ili waweze kuhudumiwa kwa ukaribu zaid

Cdm wakihamia Dodoma ndio wataacha kuibiwa kura na kupigwa mabomu?
 
Msajili wa vyama alisema ofisi yake imeamia Dodoma akawahambia vyama vya siasa vitakuwa vinafata Huduma Dodoma kwaiyo akawashauli wahamie Dodoma ili waweze kuhudumiwa kwa ukaribu zaid

..lakini Msajili hatoi huduma zozote kwa cdm, sanasana anawahujumu. Sasa kwanini wamfuate Dodoma?
 
Msajili wa vyama alisema ofisi yake imeamia Dodoma akawahambia vyama vya siasa vitakuwa vinafata Huduma Dodoma kwaiyo akawashauli wahamie Dodoma ili waweze kuhudumiwa kwa ukaribu zaid

Mkuu halafu jifunze kuandika na ukiweza rudi shule ukijifunze kuandika kwani sasa hivi elimu ni bure. AKAWAHAMBIA ndio nini? Mara GALAMA!
 
Watahamiaje huku ruzuku zinaishia barView attachment 1164113
Ukiwa huko kichwani ni mikimba tu.
tapatalk_1554549593503.jpeg
 
Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?

Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma

Hii ndio sentensi ndefu kabisa kupata kutokea hapa duniani, bila kuwa na koma wala nukta.
 
Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?

Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
Gharama ya taasisi kama CHADEMA kuhamia Dodoma ni zaidi ya pango la ofisi. Dar es Salaam ni Ngome ya CHADEMA kwa sababu zifuatazo
1. CHADEMA ina mtandao mkubwa unaojumuisha mikoa ya Dar es Salaam na pwani. Ngome za mikoa ya Arusha na Manyara zimeteteleka.
2. Ina majimbo matatu ya ubunge mkoa wa Dar es Salaam ambayo yamekaa kimkakati
3. Inaongoza halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na baadhi ya manispaa
4. “Political visibility” yake ni kubwa Jiji la Dar es Salaam lenye idadi kubwa ya watu kuzidi majiji mengine
5. CHADEMA kuhamia Dodoma hakuna “political competitive advantage” kwani Dodoma ni ngome ya CCM. Ngome ya vita ya CHADEMA itakuwa ndani ya ngome ya vita ya CCM.
 
Mimi napinga vitu viwili tu katika yote uliyosema.
Wewe sio fukara na wewe huishi vijijini.
Uko sahihi kuhusu ufukara ila naelekea huko kulingana na projection ya benki ya dunia, kuishi kijijini kwa kweli niko kijijini hata tukionana utanitambua kwamba mimi ni wa bush😂😂
 
Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?

Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma

Kwahiyo unadhani makao makuu ni kajengo ka pale Ufipa tu?

Akili mgando hizi ndio mtaji wa CCM!
 
Nini mantiki ya kuhamishia makao makuu ya vyama vya siasa dodoma?
 
Gharama ya taasisi kama CHADEMA kuhamia Dodoma ni zaidi ya pango la ofisi. Dar es Salaam ni Ngome ya CHADEMA kwa sababu zifuatazo
1. CHADEMA ina mtandao mkubwa unaojumuisha mikoa ya Dar es Salaam na pwani. Ngome za mikoa ya Arusha na Manyara zimeteteleka.
2. Ina majimbo matatu ya ubunge mkoa wa Dar es Salaam ambayo yamekaa kimkakati
3. Inaongoza halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na baadhi ya manispaa
4. “Political visibility” yake ni kubwa Jiji la Dar es Salaam lenye idadi kubwa ya watu kuzidi majiji mengine
5. CHADEMA kuhamia Dodoma hakuna “political competitive advantage” kwani Dodoma ni ngome ya CCM. Ngome ya vita ya CHADEMA itakuwa ndani ya ngome ya vita ya CCM.
Mkuu we Umejibu hoja kisomi wengine Naona upeo wao upochin sana, Na inaoneka awapendi kukosolewa
 
Kwani Makao makuu ya chama kitaifa kwa chadema si ofisi yao ipo wilaya ya kinondoni, mtaa wa ufipa?
Kwahiyo unadhani makao makuu ni kajengo ka pale Ufipa tu?

Akili mgando hizi ndio mtaji wa CCM!
 
Msajili wa vyama alisema ofisi yake imeamia Dodoma akawahambia vyama vya siasa vitakuwa vinafata Huduma Dodoma kwaiyo akawashauli wahamie Dodoma ili waweze kuhudumiwa kwa ukaribu zaid
Wa kuhamia Dodoma yupo hawamgusi... Angeaza yeye kwanza kuonyesha mfano kisha wengine wangefata, ndio kiongozi mzuri.
 
Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?

Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
Makao makuu ni Mali ya Chama Ile nyumba inayofuata ndy wamepanga
Ile ofisi ya Togo bavicha nayo Mali ya chama
Usitake kupotosha mambo hapa

Ova
 
Acheni ushamba wa mawazo.. uliambiwa wapi lazima kila taasisi makao yake makuu yawe Dodoma? Kwani Chadema ni government agency.

Waambieni na wale wachawi wenu wa gamboshi wahamishie makao yao Dodoma..
 
Back
Top Bottom