Arusha: Tetemeko la ardhi latokea. Hakuna madhara yaliyoripotiwa

Limepita dakika tano zilizopita. Maeneo ya mafao house tupo salama.
Acha utani ndugu unazijua dakika 5 ww unaziskia

Tetemeko la ardhi litokee. Kwa dakika 1 tu tungeskia dar mzima hiii kama kuna maafa yametokea leo useme dakika tano haaa sema limepita sekunde 1 nasio dakika 5 hebu uliza io kitu utambiwa
 
labda ujamuelewa vizuri anasema limetokea dakika tano zilizopita,,,,,
upo sahihi tetemeko lenyewe lime last kama sekunde 4 tu,,,
 
Back
Top Bottom