Recent content by kellionaire

  1. K

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    kama BOSS kimeo mbona huachi kazi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    kama sare za shule zinakuvutia mshonee mkeo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jamal Malinzi na Celestine Mwesigwa wafikishwa Kisutu, wasomewa mashtaka 28

    namchukia jamal zaid ya shetani
  4. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo anaua raia wetu Kibiti, Polisi tumia Teknologia kumkamata

    ifike wakati baba ukishindwa majukum omba mama akusaidie kale ka akiba kake familia isife kwa njaa Tanzania omben msaada zaid kwa majeshi yalowazid uwezo si vibaya kuomba msaada maneno na vitisho havisaidii
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na huu ujumbe

    imooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Adui anayeangamiza roho za watu Pwani bado giza totoro.Wananchi waogopa kutembea

    nawaza tu zile noah zetu hawa jamaa wapewe mbili mbili ili waache
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume tuoane

    wewe utafuti mme sasa kwa nini ubague dini
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwl mwenzangu anataka mume

    mwambie anicheki
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mwl mwenzangu anataka mume

    mwambie anichek
  10. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atakiwa kuripoti haraka sana kwa DCI

    tupotezeeni tu na kiki ya makinikiya
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    mi huyu baba simuelewi make ni mzee wa kuanza kumalizia saa daaaaaaaah mzee wapi noah zetu jamaa hawajaleta mpunga au ndo changa la macho
  12. K

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    ifike mahali serikali iache tararira mbona maandamano na mikutano ya wapinzan mko macho sana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    daa pole sana maana three kwenda advance kwa sasa ni vigumu sana anyway tumuombe MUNGU
  14. K

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    ana division ngapi kwanza
  15. K

    JamiiForums Tanzania Swali: Baada ya jiji la Mwanza mji upi unafuata kwa ukubwa kanda ya ziwa?

    shinyanga ni manispaa but haina mzunguko wa hela kama kahama.afu kahama kuna dili kibao za uchumi
Back
Top Bottom