Kwani huyu wa sasa kawekwa na nani? Tumia akili zako sio za wanasiasa wanaogombana ni CAG na Spika .Kwani raisi alimtuma cag kuongea maneno yale? Muwe kumbukumbu sahihi huyu CAG ameweka na magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mkuu nimekupata Sana huyo zitto njaa imemzidi mambo yake hayaendi anabaki kuropoka tu wajinga ndio watamsikiliza mnafiki huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tume huru kiongozi sio suluhisho unakumbuka zanzibar uchaguzi uliopita na tume huru yao lakini matokeo umeyaona mwenyewe alichofanya Jecha.Suluhisho kubwa ni wapinzani wote kuwa wamoja pasipo ubinafsi wa kivyama kama ulipo sasa .Pia Mbowe asiwe mwenyekiti tena kwani sasa anafanya biashara ya...
Sawa sawa tu kwani haya yanayowakuta ni haki yenu kabisa hakuna uchaguzi ulioniumiza moyo wangu kama wa 2015 tumepambana sana mwisho wa siku mnatoa majibu rahisi kwenye maswali magumu paka leo hii sina imani na Chadema.Pia shemeji yangu Lema unavyofikilia wewe kila siku mnawaita polisi kuwa...
Kiongozi tatizo ya Chadema ukanda utawamaliza kwani hawaamini uongozi kutoka mbali na kanda yao,nguvu wanayotumia ni kubwa sana kurinda ukanda kuliko chama .Chama kinatakiwa kuwa mali ya watanzania wote hata kwenye maamuzi ya kichama na uongozi kwa ujumla.Chadema ikipoteza uelekeo wake au kufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.