Nawashauri CHADEMA wajiunge na CCM

Nimekupa majibu mepesi kwasababu nimegulundua huna uwezo wa kuhimili majibu mazito kwa hiyo imekuwa afadhali kwako bwana mdogo!
Asante. Endelea kujifunza kuishi kwani najua ni za kushikiwa huna makosa.
 
What do you try to tell me kwa mfano?
Mku aliyekubadishia lugha kutoka lugha mama lugha ya mgeni amekufanya kuwa mtumwa wa lugha. Hata kiswahili unasikika vizuri sana Mku au kingereza ndo mwisho wa akili
 
Bora mfanye hivyo vinginevyo nawahakikishia mtashindwa kila uchaguzi.....

Uchaguzi wa 2020 msitegemee kupata wabunge zaidi ya saba serious nawaambia...keep my words.

Sababu kubwa ni kwamba mlikosea sana mlipokubali kubadilishana Slaa kwa Lowasa.

CCM wajanja walipoona Lowasa hasafishiki wakawabadilishia nanyi mkakubali kumuacha Slaa aende.

Na Lowasa wakati wowote anarudi CCM, jiongezeni kumbukeni ya Mrema.

Huo ndiyo ukweli mchungu hata kama hamtaki!
wapinzani No retreat no surrender. aluta continue
 
What do you try to tell me kwa mfano?
Mku aliyekubadishia lugha kutoka lugha mama lugha ya mgeni amekufanya kuwa mtumwa wa lugha. Hata kiswahili unasikika vizuri sana Mku au kingereza ndo mwisho wa akili yako sio ndo maana nimekuomba uishi badala ya kujifunza kuishi
 
Mkuu you are perfect!
Sioni siasa za upinzani kwa sasa zaidi ya maigizo.
Siasa za upinzani zilikuwepo 2015 kurudi nyuma, kilichobaki kwa sasa ni kila mtu kutafuta kick.
Ila uvumilie matusi mkuu za jamaa wa upande wa pili.

Kweli kiongozi sasa upinzani wanaigiza tu kwani lengo lao kuu linafanywa na Magu
 
Bora mfanye hivyo vinginevyo nawahakikishia mtashindwa kila uchaguzi.....

Uchaguzi wa 2020 msitegemee kupata wabunge zaidi ya saba serious nawaambia...keep my words.

Sababu kubwa ni kwamba mlikosea sana mlipokubali kubadilishana Slaa kwa Lowasa.

CCM wajanja walipoona Lowasa hasafishiki wakawabadilishia nanyi mkakubali kumuacha Slaa aende.

Na Lowasa wakati wowote anarudi CCM, jiongezeni kumbukeni ya Mrema.

Huo ndiyo ukweli mchungu hata kama hamtaki!
Nakuunga mkono kwa chadema kupata kiti kimoja bungeni tena kwa kuhurumiwa na CCM,ila kwa mzee Edward umebugi kaka, kwani mpaka sasa lowasa kapatikana na tuhuma ipi ya ufisadi? Ujio wa lowassa chadema ni neema isipokuwa chadema walipoteza nafasi yao ya kuyadai mabadiliko kwa vuguvugu la uchaguzi 2015.Nafasi waliokuanayo wakati ule ni kudai haki zao,katiba mpya, badala take walijifanya watiifu CCM na kwasasa nafasi ya kudai mabadiliko hawana na hawataipata.Wamekuwa ni watu wa kulalamika tu,sijui sasa wanalalaamika ili iweje? kiufupi hata wananchi waliowakubali hapo awali wameanza kuchoshwa na porojo za chadema,wananchi wanahitaji kuona mkichukua hatua za kiutendaji na sio poroja za nenda rudi.siku zote wanasema wameibiwa kwanini wasichukue hatua za kukomesha wizi? wamebaki watu wa maneno huku CCM wakitenda,We all know "Action speak louder than words" kwahiyo kerere za CHADEMA kwa CCM in sawa na kerere za chura zisizo mzuia tembo kunywa maji.We also aware that "Power is not given,power is taken" wananchi wanapiga kura kukuwezesha kuchukua madaraka lakini suara la kuchukua madaraka sio la wananchi tena ni la kwako wewe.A part from that to get something you have struggle as our ancestors struggle for independence of this country until losses their lives.Are CHADEMA able to struggle for Democracy which they do preach? Ukiiwa darasani mwenzako kwenye somo anapata 97% na were unambulia 3% basi shule itakua haikufai ya heli ukalime.Nashauri Chadema kama walishindwa kudai mabadiko 2015 waliopo kuwa na nafasi,kwasasa nafasi hiyo hawana na hawatakuwanayo tena, tuendeni tukachukue kadi za CCM tusipoteze muda maana mmeonekana kushindwa na msimamo wenu hatuoni.Tanzania bila upinzani inawezekana.
 
Njooni mjibu hoja tena baada ya uchaguzi, niliwakadiria wabunge saba bahati nzuri kwenu hata wawili hamkupata mmeishia mmoja tena yule ambae hata hakutegemewa!

Mmejimaliza wenyewe. Ushauri wangu kwasasa jaribu kujenga hata kijiofisi cha makao makuu hata cha milion mia tu huenda mkawarudishia imani wananchi.
 
Back
Top Bottom