Natafuta soko la soya

Natafuta soko la soya

Mimi nahitaji kwa ajili ya kitengeneza unga wa lishe
Naomba namba yako nikuungishe
 
[quote uid=10655 name="Watu" post=16157814]Waone "<b>Silverlands Tanzania Limited</b>, a newly established agricultural company focused on animal feed and poultry production based in Iringa Tanzania"<br /><br />Nimejaribu google contas zao but in vain,
<br /><br />Ahsante sana,ntajitahidi nami kutafuta contacts zao

Contact.
Operation manager 076265212[/QUOTE]
Aisee mkuu hii namba haijatimia. Mimi pia nna shida na hawa watu wa SilverLands
 
Habari wadau,
Natafuta soko la Kuuza Soya,mimi ni mjasiriamali, so far nina soko moja (cliebt mmoja pekee Arusha), iwe ndani ya nchi au nje ya nchi,mwenye info anipatie,iwe hapa jukwaani au PM.

Kuna baadhi ya viwanda hapa nchini hutumia Soya pia kwa ajili ya kutengenezea Mafuta ya kupikia, nikipata eneo hilo la soko itakuwa vema.

Pia kuna baadhi ya viwanda vya kutengeneza chakula cha kuku nao hutumia Soya kama ingredient ya kutengenezea chakula cha kuku.

Nimetaja tu baadhi ya matumizi ili kuweza kutoa picha kwa wanaoweza nisaidia market info ya baadhi ya hayo maeneo niliyoyataja na ambayo sijayataja.

Natanguliza Shukran zenu.
Nijuze

kama una chochote kwa ajili ya export from TZ

0676019019

WhatsApp or call me
 
Habari wakuu, Nina tafuta soko la soya ninazo nyingi Sana naomba kufaham masoko yake niwapi hasa maana kwa Sasa ninawauzia watu waliopo kwenye masoko yakawaida Ila nataman kupanua soko zaidi naomba tuwasiliane 0653240453, kitu kingine ambacho ninacho ni asali ya nyuki wakubwa Mbichi pamoja na nta zakutosha kabisa. Nawakaribisha Sana waheshimiwa tuweze kufanya biashara.
 
Njoo pm
 
Bei yao ni 800/ kg
Waone "Silverlands Tanzania Limited, a newly established agricultural company focused on animal feed and poultry production based in Iringa Tanzania"

Nimejaribu google contas zao but in vain,
 
Back
Top Bottom