Recent content by KeiEd

  1. KeiEd

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima aitwa kujieleza Polisi kesho (Mei 08, 2019)

    Mbona muda huo ndo kaita press sasa
  2. KeiEd

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi navyomfahamu Gwajima, atatuambia hadi aliyetengeneza hio photoshop.

    Saa 5 is just an hour ahead lets wait and see wht he has for us
  3. KeiEd

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Mimi ni mbobezi wa maswala ya fedha/finance/accounts nina uzoefu wa miaka kumi. Niliingia kwenye ujasiriamali utawala uliopita, since 2016 mazingira yamebadilika na changamoto zimekua nyingi mno. PM me for more details Regards Job seeker Sent using Jamii Forums mobile app
  4. KeiEd

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    Natafuta kazi Mhasibu, Ni PM for details Sent using Jamii Forums mobile app
  5. KeiEd

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Mimi ni mwananchi wa Kata ya Msigani wilaya ya Ubungo, Nimejaribu mara kadhaa kipitia Twitter kuwasiliana na nyinyi lkini majibu hua sipatagi, now mnimbie huu mradi wenu wa maji ambao unaendelea kwa kusua sua ni lini haswa tutaanza kuyapata maji majumbani mwetu, adha ya maji kwa upande huu ni...
  6. KeiEd

    JamiiForums Tanzania Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Nataka kujiunga
  7. KeiEd

    JamiiForums Tanzania Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

    Sasa mbona miezi mitano na kulipa ada za chuo havioani
  8. KeiEd

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kuku wa mayai wa kloira wanauzwa bei poa

    Kroila hawanaga shida kwa ugali na viporo vingine
  9. KeiEd

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kuku wa mayai wa kloira wanauzwa bei poa

    Shs ngapi bei ya jumla
  10. KeiEd

    JamiiForums Tanzania Nimetimiza miezi minne sasa bila kunywa pombe!

    Aisse hongera sana maana ni mtihani kwa kweli mgumu
  11. KeiEd

    JamiiForums Tanzania Wakala wa majengo nchini (TBA) yatoa ufafanuzi baada ya kupatikana nyufa katika Hosteli za chuo kukuu cha Dar(UDSM)

    jamani kama kuna mzazi au mlezi mwenye mtoto humu amtoe haraka, tuzipishe siasa ziendelee kwanza
  12. KeiEd

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa Magazeti hamjamtendea haki Rais wetu mpendwa

    Hata taarifa za habari vituo kadhaa jana vilianza na habari ya Lazaro mtoza ushuru
  13. KeiEd

    JamiiForums Tanzania Starehe tamu kuliko zote

    Mmhhh
  14. KeiEd

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Wasanii na watuhumiwa wengine wafikishwa Mahakamani, wapata dhamana

    Amaeshakubali kuaanatumia bange, so msokoto ni wake
Back
Top Bottom