Recent content by keh

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, hadi lini jimbo la Singida Mashariki litakosa mwakilishi?

    Bunge la Tanzania halina spika, Kongwa haina Mbunge... ni vyema tuanze na spika kuondoa mkwamo bungeni
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Shem simuelewi aisee...

    Haahhaha
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza bei ya mahindi iko chini kuliko kipindi cha mavuno, ni kilio kwa wakulima na wafanyabiashara

    Huna taarifa na kumbukumbu za kutosha. Kwa anayeijua biashara ya mahindi usithubutu kufikiri kwamba kama mwaka huu bei kipindi cha kulima ikawa kubwa kutopea kama Mara 4 ya bei ya mavuno, basi na mwakani itakuwa hivyo. Mfano, kipindi cha kupanda mahindi mwaka 2000 yalikuwa 10,000. Mwaka huohuo...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeanza mwaka natongozwa sana hadi naogopa

    Nyota ya UKIMWI inakunyemelea
  5. K

    JamiiForums Tanzania Pata 4GB Za Internet Wiki Nzima Kwa 3000/= Tu.

    Imekaa vipi hii
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wenzako itisheni kikao cha dharura na vyama washirika kujadili sintofahamu hii , msiogope kusulubiwa

    Kabla hujaandika haya, ungewasiliana na waliokutuma kwann wanakanyaga katiba ya nchi. Kwann uchumi umesinyaa. Kwann wanakanyaga sharia na kanuni za uhuru wa maoni na demokrasia
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuliambiwa "UKINIACHA WEWE NAKUWA SISTER"na hakuwa sister tukumbushane

    Wapiii..... porojo tu Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuliambiwa "UKINIACHA WEWE NAKUWA SISTER"na hakuwa sister tukumbushane

    Wapiii.... porojo tu Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuliambiwa "UKINIACHA WEWE NAKUWA SISTER"na hakuwa sister tukumbushane

    Hiyo cha mtoto, nishaambiwa "ukiniacha nakuloga" "au nyafanya lolote Mungu ataelewa"
  10. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mabasi mabovu nchini ambayo hushauriwi kuyapanda

    Tahmeed ya Mombassa to Dar, ni mbovu sijapata kuona. Nauli kubwa lakini gari mbovu hatari, viti vingi vibovu na hakuna Mikanda, viti havikunjuki, no AC na viburudisho hawagawi viburudisho. Nilijuuta kusafiri nayo ilikuwa October 2017
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa na uwezo ningevifuta vyama vyote vya utunzaji ibaki ccm

    Hahahaha umetisha sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naweza kuendelea form 5 kwa max hizi.

    ukiwa na D katika bio, chem, engl na phy unapokelewa kusoma nursing kwa ngati ya cheti. lakini hizo D advance hupati
  13. K

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo si baba yetu wala mama yetu

    Bodi hawalipi zaidi ya 2.6, jiandae kujigharamia
  14. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli na mradi wa laptop kwa kila mwalimu,hivi tatizo ni ukosefu wa laptops?

    Kindorooobo kile ana uongo wa 1947's watumishi wanataka mishahara yenye tija, mazingira bora ya Kazi, thamani ya Kazi zao, professional growth. Nan kasema kipaumbele chao ni hizo computer? Kuwa aibu ewe grasshopper magufuli
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari hawa wanaojiita Activist Organization

    Majizi hayo
Back
Top Bottom