Huyu Shem simuelewi aisee...

Huyu Shem simuelewi aisee...

Seems ulimuelewa lkn umepata hofu baada ya kuhisi atakua anafanya kamchezo na mpenz wako? Fuata mawazo yako mzee hakuna majaribu ya namna hiyo hata Ngwair mwenyewe hakuacha mtoto aondoke
Nancy ee,basi sawa
 
sasa shemeji yako umemnyima namba ya simu kwa nini? Ilibidi utoe namba ili uone mchezo utaisha vipi mwisho wa siku. Mwili unataka roho inagoma hapo mwili lazima uishinde roho
 
Kwa taarifa yako hiyo Dada anataka kulipiza kisasi alichofanyiwa na demu wako kwa jamaa mwingine. Demu wako hajui kama hiyo demu alifahamu kuwa alimzunguka. Piga kimya kimya
Sawa muhaya wewe
 
2 days ago....
Mpaka leo hakuna kilichoendelea?
 
sasa shemeji yako umemnyima namba ya simu kwa nini? Ilibidi utoe namba ili uone mchezo utaisha vipi mwisho wa siku. Mwili unataka roho inagoma hapo mwili lazima uishinde roho
Mkuu nilikaza tu kiume ila nia yangu nimpe
 
Aisee juzi hapa,mpenzi wangu alipitia home na best ake! Ofcoz she's cute bwana(mashalaah) hamzidi kipenzi changu! and huyo shem ndie alikuwa na usafiri so nikama waliongozana tu!

Nikawakaribisha mangwair(sitingroom), story hapa na pale,huku tukipasha koo na movie mbili tatu! Shem huyo alikuwa akinisifia kuwa kuwa eti me mcheshi sana aisee!! Basi bwana hatimae wakaaga, kama kawaida yangu huwa sijivungi,walipofika kwenye gari makiss moto moto kwa mupenzi...

sasa Leo ikiwa zimepita siku 3 tu,Yule Shem kaja mwenyewe mangwair(ghetto),nikamkaribisha ndani, eti anamuulizia rafiki yake! Duh nikamjibu kwani Leo hamjaonana ofisini,bt maelezo yake hayajaeleweka,akaanza kujibaraguza eti basi naomba ile movie ambayo niliwawekea juzi akaitazame kwake,bila iyana nikampatia
Bt Wakati namtoa akaomba namba eti ili kama anairudisha anicall! Aisee
Nikagoma mwanaume kwakuhisi isije kuwa kamchezo nachezewa!
Anway wacha nione game inakoelekea!!
acha uwongo
 
Back
Top Bottom