Recent content by Kede

  1. K

    JamiiForums Tanzania Electronic Passport hupatikana kwa muda gani?

    Jamani na kwa sisi tunao renew za zamani zineisha muda wake tunahitajika kuwa na vitu vyote ivyo? Nahitaji kwa ajili ya kusafiri binafsi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Dodoma mjini ina kila kitu

    Vipi ina Hati?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Updates: Upo maeneo gani, matukio gani kuelekea kuingia mwaka mpya 2018?

    Babati...tupo tuna count down tu..
  4. K

    JamiiForums Tanzania Lukuvi ulikiwa unakusanya kodi ya majengo ili uje utubomolee nyumba?

    Jamani kusema kweli Kama alivyoelezea alieanzisha uzi huu hii nchi kila mahali kupata documents za kumiliki ardhi ni changamoto kweli.. Na kupata Vibali vya ujenzi ndio usiseme.. Nafikiri mheshimiwa waziri angeanza Kwanza Na kurekebisha hii mifumo iweze kusaidia wananchi ndio aanze kuwabomolea...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mvua zimeanza kunyesha sehemu mbalimbali Tanzania

    Tusibishane Mimi na wewe watakuja watu wengine wa izo sehemu nilizotaja kuthibitisha kama kweli mvua imenyesha leo au la Mimi Niko singida saivi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mvua zimeanza kunyesha sehemu mbalimbali Tanzania

    Babati mjini nimetoka
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mvua zimeanza kunyesha sehemu mbalimbali Tanzania

    Uongo upi sasa na niseme uwongo ili iweje? Na saivi Niko singida kwa taarifa yako nako mvua imenyesha nayo useme ni uongo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mvua zimeanza kunyesha sehemu mbalimbali Tanzania

    Nimetoka babati Niko katesh nasafiri, kote naona mvua zinanuesha.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini ukiwa 1st year kwa wiki ya kuripoti chuoni?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh nimecheka sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili simu hii mpya ya TECNO

    Alafu anaishi kwenye chumba cha kupanga[emoji2] [emoji2]
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ndege za ATCL zaanza safari Mwanza - Dar

    kiukweli kwa mwendo huu ATCL hawatawaweza Fastjet juzi Mimi nimekata ticket go and return Mwanza Dar kwa sh laki tatu wakati ATC walikua 434,000/- tena wadada wenyewe apa kwenye ofisi za Mwanza ata customer service bado sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Poor Ali Kiba, kama hujui kiingereza ni vema kuongea lugha yako tu

    Na ndio maana hatuchangii kwa kingereza kwani kiba alizuiwa kuongea kiswahili?? angeafunguka tu kw alugha mama na angejielezea vizuri tu na kwa nafasi kama mwenzake baraka the prince na mkalimani wake
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye Gazeti la Daily news anisaidie

    wesema ni issue gani watu wakupigie picha wakutumie kirahisi apa badala ya kulitafuta manually.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ni kweli ni aina ya gari chache sana Mshana na nashukuru Nimekaa nayo mwaka wa tatu sasa Ndo spare part ya kwanza nabadilisha.. Sijui ni ilala sehemu gani haswa.
Back
Top Bottom