Tujadili simu hii mpya ya TECNO

Tujadili simu hii mpya ya TECNO

Akija huyu ataweka Data mpaka mtamchukia na TECNO zenu [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] Mkwawa na Tecno ni sawa na Magufuli na Sifa za Kijinga
Acha kufananisha tecno na vitu vya kijinga wewe hapa tunaongelea tecno siyo ccm
 
Kwa sababu wameamua kuisaidia Afrika kwa budget phones.
Sidhani kama hii bei ni bei halali kwa budget phone.
 
Unajua kwa nn Tanzania ujinga hauishi?... Ni kwa sababu ya watu Kama Hawa.. Mtu kauliza kingine afu unatoa jibu Tofaut kabisa.
Sasa umejuaje kma wote waliopo hapa ni watanzania? Sim gani hata watumiaji wake hawajui makao makuu yake
 
Mnaboa sana yaani kila siku ni sisi tu watu wa tecno kila kukicha sisi tu ila haina ubaya.

NGOJA NIKINUNUA SIMU NAANZISHA THREAD HUMU.
 
Back
Top Bottom