Jezi ni Kali sema kunakitu kimoja hawakuwa makini.walitakiwa wawe wabunifu ingenoga.
RAMANI ya Afrika. Hapa ndio wabunifu kidogo wameteleza, Najua dhsmira yao ilikuwa ni kuleta maudhui na maana halisi ya Young Africa .
Lakini ukubwa wa mchoro Wa ramani hiyo imeharibu muonekano Wa jezi. Haswa...
Hahaa hahaaa! Yaan hapa nawacheka kwa dharau nyinyi Mikia mnavyo hangaika.
Yaan mmekuwa sawa na mwanaume unapoachwa na mwanamke.Akiwa nje ya hadhira hujaribu kutoa kashfa na matusi kadhalika kumponda mwanamke huyo,
Baadae akikumbuka utam na ubora wamwanamke yule hujifungia chumbani na...
Ebwana we,Hawa no Yanga au Real Madrid? Aisee Hongera sana Gsm vijana wametokelezea ile kifayaa!!! Motoooo, konkiiii
Wape salaaam ,hii ndio maana halisi ya tm kubwa.
We'll done wananchi.
Na bado kesho ambulency ziwectayari kubeba mashabiki Wa mikia kutokana na Nucliar bomb litakapo fyatuliwa kuanzia saa8 :00 mchana.Bomb hlilo litasafiri kwa kasi ya 10820hm per 0012snd kutokea mitaa ya Maria koo na Twiga (Jangwani) moja kwa moja litaelekea upande Wa mashriki na kilos am bar at I...
Hivi unamjua Zawadi au unaongea tuu? Huyu nikiungo bora japokuwa hakuimbwa sana,Yanga kwa muda mrefu imekuwa ikistrugle kumtafuta kiungo mkabaj ambae ndie kiunganish cha Tim katikati.
Nafikiri kwa uchezaj wake na utulivu wake utaisaidia Yanga.Pia itasaidia kumuondolea Feisal mzigo ambao...
Drone Camera,
Kama kuna jambo tunapaswa tulifanye hapa dunian ambalo nilamsingi basi "Tuwatendee wema wazazi wetu"
Hebu jiulize kuna wakati mgumu kama kunyamanzisha mtoto ambae hujui analia kwa sababu gan? Maana yeye haongei hivyo sio rahis kujua kip kinamsumbua.
Lakin Mama husumbuka...
Ashakubali ndoa, asiogope shida za mwanaume wake yeye hana budi kuitumikia ndoa hivyo hivyo japo kishingo upande.Kuna wakati ili chaneli zisome ktk kisimbusi lazma upepo utulie,Ila kwamaon yangu Yanga Sc wasivunje mkataba naye Bali wamshushe ktk Under 20 ili awe anacheza chandim na watoto dish...
Uko vizur kiufupi nimeuelewa, ila mashabiki mna roho ngumu sana, mkiwa jukwan mnasema wimbo mbaya lakin vichochoron mnajifungia kuupa air time kuusikiliza
Uko vizur kiufupi nimeuelewa, ila mashabiki mna roho ngumu sana, mkiwa jukwan mnasema wimbo mbaya lakin vichochoron mnajifungia kuupa air time kuusikiliza
Kwanza nianze kwa kusema Mimi sio mfanyakazi wala Agent Wa Tanesco lakin kwa maoni yangu, mfumuko Wa being za units katika mkoa wetu unaweza sababisha na mambo kadhaa.
1:Ongezeko la matumizi( Watumiaji).Awali shirika liliweza kutoa huduma ya umeme kwa kaya chache ambazo kiuhalisia zipo mjin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.