Jezi au atlas?

Weka picha ya jez kwanza
Atlas hii hapa
Screenshot_20200911-124039_Instagram.jpg
 
Jezi ni Kali sema kunakitu kimoja hawakuwa makini.walitakiwa wawe wabunifu ingenoga.

RAMANI ya Afrika. Hapa ndio wabunifu kidogo wameteleza, Najua dhsmira yao ilikuwa ni kuleta maudhui na maana halisi ya Young Africa .

Lakini ukubwa wa mchoro Wa ramani hiyo imeharibu muonekano Wa jezi. Haswa ukizingatia ramani yenyewe kuweka ubavuni haikupi we we mtazamaji tafsir kamili.

Pendekezo langu ,japo ndo ishatoka nafkir kama wabunifu wangeona mbali haya ndo maeneo ramani ingekaa na kuleta muonekano mzuri

1 Chin ya Maandishi ya SPORT PESA hili ni eneo zuri kabisa kwani ingeliwekwa ramani ndogo ya wastani ingependeza zaidi

2 BEGANI
 
Jezi ina ramani tatu halafu zote ramani za Africa. Nembo ya Yanga tayari ilikuwa na ramani ya Africa. Nembo ya GSM nayo tayari ina ramani pia, asa kulikuwa na sababu gani ya kuweka tena ramani nyingine ya tatu?
 
Nembo ya GSM tayari ina ramani ya Africa hivyo hakukuwa na ulazima wa mchoro mwingine unaofanana na nembo ya GSM
Labda huu mchoro ungekaa mkononi au kwenye bukta.
 
GSM Wajanja sana, eti Ramani ya Afrika kuonesha Wao ni young Africans....
Ukweli ni kuwa wameweka nembo yao....
Ambayo ina ramani Ya Afrika.
 
Back
Top Bottom