Recent content by Keben

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa afunguka mazito kuhusu hila za Dola na Polisi dhidi ya CHADEMA

    Yes anagalizo ni muhimu sana, pia ameongea vya msingi sana kwa ambao hatuyajui Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina uhakika

    Nilifanya mapenzi na mwanamke,ila kwenye process sijui kilichotoka ni sperm kidogo au semen. Wakati huo nikiwa chini mwanamke juu lakn baadaye sana nika P. Je hata kama zilitoka kidogo ni kwa kiwango gani naweza kusababisha mimba nikiwa chini(japo sina uhakika ni soerm au semen).
  3. K

    JamiiForums Tanzania Siamini kuwa CHADEMA hawana watu wa kusema kwenye mikutano ya hadhara hadi wawasubiri Lissu, Lema, na Wenje

    Ulisikia wapi wanawasubiri. Mbona umejaa hofu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    244C5B9 Sent from my CPH1911 using JamiiForums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua simu ya Oppo f11 nikitaka kurecord call nafanyaje

    Ok. Kwa hiyo niwe mpole tu kwenye simu yangu haipo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua simu ya Oppo f11 nikitaka kurecord call nafanyaje

    Mwenye kujua simu ya Oppo f11 nikitaka kurecord call nafanyaje. Kwa simu zingine ukitaka kurecord oncoming na outgoing calls unapaona kwenye keyboard. Oppo f11 hapaonekani. Help pls
  7. K

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

    Unaukumbuka ule ushahidi wa Lwakatare?.
  8. K

    JamiiForums Tanzania John Heche anafaa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika ni dhaifu sana

    Sioni tatizo na JJ Mnyika. John Heche ni mzuri pia.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hela hizo Sent from my CPH1911 using JamiiForums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Iramba: DC Suleiman Mwenda aagiza walimu wanaodai fedha za uhamisho na madai mbalimbali kulipwa stahiki zao

    Dc unaweza kuiagiza Wizara ya fedha, Tamisemi au Utumishi kweli?. Hajui majukumu yake
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali Askofu Gwajima na wengine wa jinsi yake wadhibitiwe kiserikali na kichama kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Sisi kama chama tunamalengo yetu yaani. Gwajima anaelewa anachofanya
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa mambo haya kuhusu chanjo ya Covid-19

    Ok mkuu. Huyu wa Pumu akipata chanjo japo ataambukizwa lkn atapambana nakupona. Asipopata nda tatizo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa mambo haya kuhusu chanjo ya Covid-19

    Habari zenu wanajukwaa. Binafsi nina ugonjwa wa kudumu(Pumu) na nahitaji chanjo. Naomba kujua hili kuhusu chanjo ya Corona kwangu mimi na ambaye hana Puma. Je, nikipata chanjo bado nitaambukizwa corona? Kama ndiyo, je niliyepata chanjo na ambaye hajachanja tofauti yetu ni nini?. Msaada hapa please
Back
Top Bottom