#COVID19 Naomba ufafanuzi wa mambo haya kuhusu chanjo ya Covid-19

Keben

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
723
250
Habari zenu wanajukwaa. Binafsi nina ugonjwa wa kudumu(Pumu) na nahitaji chanjo. Naomba kujua hili kuhusu chanjo ya Corona kwangu mimi na ambaye hana Puma.

Je, nikipata chanjo bado nitaambukizwa corona? Kama ndiyo, je niliyepata chanjo na ambaye hajachanja tofauti yetu ni nini?. Msaada hapa please
 
Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
7,863
2,000
Serikali itatoa muongozo mkuu, Saivi ipo kwenye mchakato wa kusambaza chanjo kwenye vituo vya afya
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,723
2,000
Habari zenu wanajukwaa. Binafsi nina ugonjwa wa kudumu(Pumu) na nahitaji chanjo. Naomba kujua hili kuhusu chanjo ya Corona kwangu mimi na ambaye hana Puma. Je, nikipata chanjo bado nitaambukizwa corona? Kama ndiyo, je niliyepata chanjo na ambaye hajachanja tofauti yetu ni nini?. Msaada hapa please
Ukipiga chanjo utaambukizwa na Corona na wanavyo dai wahusika eti hata ukiambukizwa na Corona huku umepata chanjo haitoweza kukuuwa utapambana nayo mpaka utapona.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,416
2,000
Mkuu kuna mambo mawili makuu hapa kama utachanjwa:

1.Mwili wako unaweza kuzuia usiweze kuambukizwa kabisa corona.

2.Ukiambukizwa Corona uwezekano wa kupona unakuwa upo juu sana kulinganisha na mtu ambae ana pumu halafu hajapata chanjo ya Corona.
 
Ok mkuu. Huyu wa Pumu akipata chanjo japo ataambukizwa lkn atapambana nakupona. Asipopata nda tatizo
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
18,841
2,000
Habari zenu wanajukwaa. Binafsi nina ugonjwa wa kudumu(Pumu) na nahitaji chanjo. Naomba kujua hili kuhusu chanjo ya Corona kwangu mimi na ambaye hana Puma.

Je, nikipata chanjo bado nitaambukizwa corona? Kama ndiyo, je niliyepata chanjo na ambaye hajachanja tofauti yetu ni nini?. Msaada hapa please
Hawa ni CDC marekan...wamekiri kua hata walochanjwa, wanaambukizwa kama kawaida.
IMG_20210731_145831_451.jpg
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,642
2,000
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom