K Keben JF-Expert Member Dec 21, 2012 725 173 Sep 6, 2021 #1 Mwenye kujua simu ya Oppo f11 nikitaka kurecord call nafanyaje. Kwa simu zingine ukitaka kurecord oncoming na outgoing calls unapaona kwenye keyboard. Oppo f11 hapaonekani. Help pls
Mwenye kujua simu ya Oppo f11 nikitaka kurecord call nafanyaje. Kwa simu zingine ukitaka kurecord oncoming na outgoing calls unapaona kwenye keyboard. Oppo f11 hapaonekani. Help pls
Extrovert JF-Expert Member Feb 29, 2016 67,033 173,710 Sep 6, 2021 #2 Call recording ni utility app sio lazma iwepo kwenye kila simu!
K Keben JF-Expert Member Dec 21, 2012 725 173 Sep 6, 2021 Thread starter #3 Extrovert said: Call recording ni utility app sio lazma iwepo kwenye kila simu! Click to expand... Ok. Kwa hiyo niwe mpole tu kwenye simu yangu haipo
Extrovert said: Call recording ni utility app sio lazma iwepo kwenye kila simu! Click to expand... Ok. Kwa hiyo niwe mpole tu kwenye simu yangu haipo
Extrovert JF-Expert Member Feb 29, 2016 67,033 173,710 Sep 6, 2021 #4 Keben said: Ok. Kwa hiyo niwe mpole tu kwenye simu yangu haipo Click to expand... Yah haipo,