Mzazi kwann haujamfungulia acount mtoto wako ili uwe unamtumia humo unakuja kulalamika hapa endelea kupigwa tuu kama vip maana ndiyo njia uliyoichagua mwenyewe
Tembea uyaone huko unaita st. Kayumba
1. Watoto wanakaa sakafuni au chini ya mti/ yaan kiufupi mazingira ni duni mno
2. Alafu it is as if shule zimekuwa overpopulated mno kuzidi caring capacity
Habari za jioni ndugu Great thinkers itifaki zote zikizingatiwa niende kwenye maada moja kwa moja
Kwa siku za hivi karibuni niliona mahala kwamba riba za mikopo CRDB 13% wakati NMB NA NBC wao ni 16%. Shida ilitokea pale nimefika bank anafanya calculation akanambia ili nipate sh 12.9mil kwa...
Habari za kuamka wakuu lakin pia nitumie nafasi hii kuwatakia heri ya Sikukuu ya SABA SABA bila kuwachosha na maelezo mengi.
ifuatayo ni sms ambayo nimetumiwa na kijana wa kitanzania ambaye niliwahi kumsaidia jambo kidogo nilipokutana naye kwa bahati tuu katika mapambano yake kielimu
''Baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.