Fahamu kuhusu Polonium-210

Fahamu kuhusu Polonium-210

Element hii iligunduliwa na mwanamama Marie Curie (mwanamke pekee mshindi mara mbili wa tuzo za amani za Nobel katika kemia na fizikia). Ilipewa jina la Polonium kwasababu ya heshima ya nchi aliyo zaliwa, Poland.

Alifariki Julai 4, 1934 kutokana na athari za mionzi (irradiation sickness) lakin kutokana na half life ya element hiyo hususani ya isotope 209 (P209) kuwa na half life ya miaka 123.3+/-3.2 ilifanya mwili wa mwana mama huyo mashuhuri kuzikwa kwenye sanduku lililojengwa kwa kutumia Lead plate ili kuzuia mionzi hatari ya polonium inayoendelea kuzalishwa hadi leo hii kutoka kwenye mwili wake.
 
N
Novichok mkuu unaizungumziaje
Novichok ni biological weapon ambayo iligunduliwa USSR Kipindi cha miaka ya 1970's mpaka 1990's kisha kuja kufungiwa matumizi yake mnamo mwaka 1997. Novichok hushambulia zaidi mfumo wa central nervous system Kwa kuifanyia overstimulation. Kwa lugha ya kijasusi hii ni "undetectable and easy to carry" kumaanisha kwamba vipimo vingi vya kimaabara hushindwa kumtambua muathirika wa novichok na ilifanikiwa kipindi ya 1980's ambapo NATO walishindwa kuitambua pia. Matumizi ya hivi karibuni ni mwaka 2018 kwenye shambulio la kijasusi. Sheria za silaha za kibiologia imefungia matumizi ya novichok japo wataalam walifanikiwa kupata antibiotic Yake kama muathirika atawahishwa kwenye kituo cha afya.
 
Moja ya side effects za polonium ni USO kuwa mweusi Yani kitaalamu hyperpigmentation ya melanin. Sasa toka COVID ianze ni nchi Tatu duniani ziligoma kupokea chanjo ikiwemo Tanzania na Burundi na mpaka kufika July 2021 viongozi wote walifariki katika mazingira ya kutatanisha.
1. Vipi mkuu kama ni nchi gapi dunia zinatengeneza hii Polenium 2010?

2. Kwa kumronga mtu hutumikaje mkuu na mchawi wakati wa kwenda kuronga ubebaje na huvaa mavazi ya aina ipi?

3. Mtu akirongwa kupitia Polenium je aweza kutibika?
 
Kaka nadhani umeshajua nilichotaka kukisema na moja ya side effects zake ni USO kuwa mweusi due to hyperpigmentation. Binafsi nahisi walimaliza jamaa Kwa hii kitu.
Labda.. Ila jamaa alikuwa anafanyiwa decontamination kwa kutumia chelanting agents Isingekuwa vyepesi
 
Moja ya side effects za polonium ni USO kuwa mweusi Yani kitaalamu hyperpigmentation ya melanin. Sasa toka COVID ianze ni nchi Tatu duniani ziligoma kupokea chanjo ikiwemo Tanzania na Burundi na mpaka kufika July 2021 viongozi wote walifariki katika mazingira ya kutatanisha.
Hiyo ndiyo ilimpoteza double agent Alexander Litvinenko:-
Screenshot_20250517_084048_Samsung Internet.jpg
 
Na pia inapendwa sana tofaut na sumu ya panya inakuondoa hapo hapo , ila hii itakuchukua ata sku tatu wiki mwez kama seli zakp zipo vzr utatoboa kwaiyo inamsaidia jasusi kuto tambulika suddenly kweny occasion.
Reffence: Alexander Litvinenko:
 
Back
Top Bottom