Recent content by kazurikazuri

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kimeniuma kwakweli

    Hahaaaa hahaaaa, kifua chupiiiii nalo nenoo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kimeniuma kwakweli

    Kwani ac yako nimekuomba au? ,wee njoo na daladala lakini wallet iwe imetuna una tunisha nanilii akati walet imepwaya khaaa, wacha niongee na waliotunisha vyote kwenye gari yako, utakula kwa macho mvulana mkubwa bahil wew
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Hahaaaa hahaaaa, wanaume mnakazi kwakweli, mzalishe mtu watoto wawili ndo uanze kumsomesha hata akijabadilika angalau watoto wako watafaidi elimu ya mama khaaa, mnawazimu kujitoa muhanga umsomeshe mtu huna mtoto naye inahusuu, mjifunzeee wanawake sisi no sheeeda
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ulipoambiwa na mpenzi wako mimi na wewe basi ulijisikiaje?

    Nililia sana aah
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hajazaliwa na mwanaume ila ni mwanaume
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yatosha sasa

    Hongera
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kunyanyasika kwangu mie unlucky hili sio jina langu natumia tu

    Ndo vizuri, ustarehe kidogo, wew nawe unamtaka wa nini achana naeee
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How to make a woman happy

    Hahaaa
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anatafutwa mke ila awe mzungu

    Mmh,muzungu tenaaa, ela unayo?
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania love is so unfair

    Maskini nimekuonea huruma ajee, ningepata kama wewe hakika hakikaaa simalizii
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Midomo zege kuja hapa

    Yaani aliniangalia wee badala anipe hata lift anatoa mijicho tuu sijui aliniogopa akati niko simple tuu, aende zake ukoo na migari yake. ..kijitu chenyewe kilikua kifupiii ptyuuu ningempenda kwa ajili ya midola maana mbele ya dola hapaharibiki neno kwangu
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Midomo zege kuja hapa

    kuna domo zege alikua hajielewi, kanisalimiavizur badala aombe no anamtuma rafik yake nikamtolea nje dadex ile niko kituon nasubir daladala kapita na bonge la viex, akaniangalia wee nikajidai simuoni kumbe ni boss ana hadi makampuni uwii nimekoma kuringa sa ivi hadi kibaka anapewa no hahaaa hahaaa
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana mwenye mwanya wananinyima usingizi

    Mimi ninao
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunapendana ila tunaogopa kuambiana

    Hahaaa, usimwambie mwache akuanze wewe, tena usikae naye karibu karibu mpaka unalowana khaaa, tengeneza mazingira ya kutongozwa wewee acha kujidai kauzu, ningekua mimi ningelegeza sauti mpaka anitamkie mwenyew heheeee
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mume wa maana, mwenye maisha mazuri Bongo hii

    Niko serious kweli, mimi ni mcute lakini kila kukicha psiiii za wanywa viroba ni sheeda nimechoka nataka mwanaume anayejielewa jamani, au nikutumiepicha unione eee?,
Back
Top Bottom