mafurikoyamoto
Senior Member
- Sep 13, 2013
- 160
- 53
- Thread starter
- #41
nina allergy na wanaume wa JF
yaani hilo tu.....wallahi ukinipenda najitoa JF:hug:
nina allergy na wanaume wa JF
Ukitumia hela mtani.nadanganyika ila maneno ya masifa sitaki
nina allergy na wanaume wa JF
We ni milf au, yaani mmama mwenye mvuto??? au upo upo tu kama mchanga!
Hahahha..... sound yako nzuri..... lakini ipeleke chekechea.yaani hilo tu.....wallahi ukinipenda najitoa JF:hug:
Haa kwa hiyo mtani unajiuza....??
Kisa umeambiwa mambo kama ndulele? Unazijua?
nina allergy na wanaume wa JF
kuna domo zege alikua hajielewi, kanisalimiavizur badala aombe no anamtuma rafik yake nikamtolea nje dadex ile niko kituon nasubir daladala kapita na bonge la viex, akaniangalia wee nikajidai simuoni kumbe ni boss ana hadi makampuni uwii nimekoma kuringa sa ivi hadi kibaka anapewa no hahaaa hahaaa
huyo ni KING OF DOMO ZEGEZ.....kuongea hawezi, ZANA ZA MAANGAMIZI ANAZO .....bado tu hawezi hata kuzuga kutoa lift??!!! kweli kuna madomo zege!!!!!!