Recent content by kazimotojohnpombe

  1. K

    Nauza jiko la gesi la kukaangia chips

    Sema Bei hapa https://jamiiforums.com/threads/nauza-jiko-la-gesi-la-kukaangia-chips.4086/#post-15862
  2. K

    This is How Paul Kagame changed Rwanda

    Siku nyingi watu wanasema kuwa Kagame ni muuwaji, nilikua siamini lakini sasa nimeelewa, ni zaidi ya Hitler, Idd Amin ni cha mtoto
  3. K

    Habari Naitaji mchumba awe ana miaka 19 -26 anaishi Dar Asiwe na mtoto wala alie wai kuolewa mengine tuta ongea privet emeli yangu zuherially8@gmail

    Wapo Wengi wenye vigezo hivyo ila hautapata, kwanza haujui kuandika, 2. Haujui kutongoza 3. Hauna hela ndio maana haujataja wewe una nini, mwanamke huyo akufuate wewe una nini?Taja wewe una nini wajue
  4. K

    Watanzania wana haki ya kutilia shaka urafiki wa Magufuli na Kagame

    Ndugu yangu halo ni machache kuhusu wasifu wa Kagame, yaani ungejua kua Kagame ni rais mbaya kuliko IDD AMINI DADA, hata hivyo Kagame alikua Mkuu wa Upererezi miaka ya nyuma nchini Uganda na ukitaka kujua aliyoafanya waulize waganda mpaka wakampa jina la PILATO, yaani KAGAME kwa wanyarwanda...
  5. K

    Waganga/ Wachawi Congo waiombea nchi yao. Je, wana nguvu yoyote?

    Wewe unaware jinx gani tatu kama hawa? kwani wanafanya nini hapa kama sio kuroga?
  6. K

    Waganga/ Wachawi Congo waiombea nchi yao. Je, wana nguvu yoyote?

    Nilika naangalia kwenye youtube nikakutana na Video ambayo imegishangaza sana nikaona basi nishirikishe wana JF na kusikia maoni yao Na video yenyewe hii hapa Je? kuna nguvu yoyote ndani ya jitihada Zao?
  7. K

    Watanzania wana haki ya kutilia shaka urafiki wa Magufuli na Kagame

    Ukizingua tena kwa mda mlefu ndio utakiona
  8. K

    Watanzania wana haki ya kutilia shaka urafiki wa Magufuli na Kagame

    Kagame ndie huyu!...... Paul Kagame
  9. K

    Watanzania wana haki ya kutilia shaka urafiki wa Magufuli na Kagame

    Kagame anasikia lugha moja tu, masikio yake hayasikii kingereza wala kiswahili, yanasikia lugha ya silaha tuu, na wanyarwanda wote wanajua ni mda tu, ila msishangae
  10. K

    Watanzania wana haki ya kutilia shaka urafiki wa Magufuli na Kagame

    Tatizo la Madikteta wote wanaongelea Maendeleo kuliko Usalama wa watu, na wanaongea kwa Jazba sana, na Team Kagame hua wanaongea kama wewe, na watu wengi walimuimba Kagame na wakaishia kulia, hata JPM wengi wa karibu nae wanajua wewe usiyoyajua, sasa wewe barabara nzuri ukiwa hauna uhakika wa...
  11. K

    Watanzania wana haki ya kutilia shaka urafiki wa Magufuli na Kagame

    Ebu fuatilia vizuri wahutu wana hali gani nchini Rwanda 1. Wamenyanganywa ardhi yao sasa ni ardhi ni mali ya serikali 2. Tangu 2012, Kagame akijua kua Watusi ni wachache alisema kwa Kinyarwanda , ukitaka hotuba yake hiyo ipo youtube"UNAWEZA KUCHOTA MAJI NA KI MFUNIKO CHA CHUPA UKAMALIZA PIPA LA...
  12. K

    Watanzania wana haki ya kutilia shaka urafiki wa Magufuli na Kagame

    Mambo mengine, tutaandika vitabu na vitabu
Back
Top Bottom